Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Mtazamo wangu; mtoa mada anaondoka kwa masikitiko mno hapo Dar. Inaonekana akili na mwill vyote vipo hapo ila ndo basi hana namna tu kutokana na msukumo wa maisha.
 
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.

Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine, lahasha, itakuchukua zaidi ya wiki moja kuielewa dar ni ya tofauti sana na kwingineko 🐒

Sasa ni rasmi narudi nyumbani, kwa baba na mama. Asante sana wana dar es Salaam kwa ukarimu wenu, nimeishi vizuri sana nanyi na sasa naenda kuchangamana karibu zaidi na ndugu zangu, jamaa zangu marafiki zangu na wanainchi wangu huko nyumbani, mkoani kwa baba na mama mzazi.

Kwa muda mrefu nimekua nikiishi dar es salaam zaidi ya eneo ninalo paswa kuwako muda wote. Sasa ni rasmi, narudi nyumbani na nitakuwako huo 24/7 nyumbani , ofisini na field, nyote mnakaribishwa. Kunako majaaliwa baada ya 2025, Tutaonana tena wana dar es salaama.. 🐒

Thank you Dar es Salaam..
Acha ushamba ni mkoa upi unaweza kuuzunguka kwa siku moja?
 
Dar usumbufu
 
Acha ushamba ni mkoa upi unaweza kuuzunguka kwa siku moja?
kaskazini na hapo kati mbona masaa ma3 tu umemaliza mkoa mzima na tayari unakua mwenyeji kama vile umeishi miaka m3🐒

dar haipo ivo ni tofauti 🐒
 
Mtazamo wangu; mtoa mada anaondoka kwa masikitiko mno hapo Dar. Inaonekana akili na mwill vyote vipo hapo ila ndo basi hana namna tu kutokana na msukumo wa maisha.
inawezekana🐒

ila kaa ukijia narudi nyumbani and thank you very much dar salaam tutaonana tena
 
Alichokosea 'Mheshimiwa sana' huyo ni kuwa Mafia haiko Lindi. Au ndo ameshaanza kushughulikiwa bila yeye kujijua?!!! Asije akajikuta anapifa kampeni jimbo la mtu mwingine.
hawa waganga wanaoganga wanasiasa saa zingine, wanachota na kugeuza akili, mioyo na fikra za watangaza na kuwavisha ujasiri na uhakika wa kupindukia, ambao bahati mbaya akakwama, huyo jamaa haitachukua zaidi ya wiki2 anaweza ku R.I.P🐒

kwa stress, msongo wa mawazo na utajiri wa mtia nia ulonyonywa na mganga hadi kua maskini wa kutupwa ndani ya kipindi kifupi 🐒

Uongozi watoka kwa Mungu,
Sauti Ya Wengi Sauti Ya Mungu..
 
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.

Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine, lahasha, itakuchukua zaidi ya wiki moja kuielewa dar ni ya tofauti sana na kwingineko [emoji205]

Sasa ni rasmi narudi nyumbani, kwa baba na mama. Asante sana wana dar es Salaam kwa ukarimu wenu, nimeishi vizuri sana nanyi na sasa naenda kuchangamana karibu zaidi na ndugu zangu, jamaa zangu marafiki zangu na wanainchi wangu huko nyumbani, mkoani kwa baba na mama mzazi.

Kwa muda mrefu nimekua nikiishi dar es salaam zaidi ya eneo ninalo paswa kuwako muda wote. Sasa ni rasmi, narudi nyumbani na nitakuwako huo 24/7 nyumbani , ofisini na field, nyote mnakaribishwa. Kunako majaaliwa baada ya 2025, Tutaonana tena wana dar es salaama.. [emoji205]

Thank you Dar es Salaam..
Ushamba mbaya sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.

Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine, lahasha, itakuchukua zaidi ya wiki moja kuielewa dar ni ya tofauti sana na kwingineko 🐒

Sasa ni rasmi narudi nyumbani, kwa baba na mama. Asante sana wana dar es Salaam kwa ukarimu wenu, nimeishi vizuri sana nanyi na sasa naenda kuchangamana karibu zaidi na ndugu zangu, jamaa zangu marafiki zangu na wanainchi wangu huko nyumbani, mkoani kwa baba na mama mzazi.

Kwa muda mrefu nimekua nikiishi dar es salaam zaidi ya eneo ninalo paswa kuwako muda wote. Sasa ni rasmi, narudi nyumbani na nitakuwako huo 24/7 nyumbani , ofisini na field, nyote mnakaribishwa. Kunako majaaliwa baada ya 2025, Tutaonana tena wana dar es salaama.. 🐒

Thank you Dar es Salaam..
Nikajua born twn,kumbe mrugaruga,haya wasalimu huko umatumbini.
 
Back
Top Bottom