Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Mtazamo wangu; mtoa mada anaondoka kwa masikitiko mno hapo Dar. Inaonekana akili na mwill vyote vipo hapo ila ndo basi hana namna tu kutokana na msukumo wa maisha.
 
Acha ushamba ni mkoa upi unaweza kuuzunguka kwa siku moja?
 
Dar usumbufu
 
Acha ushamba ni mkoa upi unaweza kuuzunguka kwa siku moja?
kaskazini na hapo kati mbona masaa ma3 tu umemaliza mkoa mzima na tayari unakua mwenyeji kama vile umeishi miaka m3🐒

dar haipo ivo ni tofauti 🐒
 
Mtazamo wangu; mtoa mada anaondoka kwa masikitiko mno hapo Dar. Inaonekana akili na mwill vyote vipo hapo ila ndo basi hana namna tu kutokana na msukumo wa maisha.
inawezekana🐒

ila kaa ukijia narudi nyumbani and thank you very much dar salaam tutaonana tena
 
Alichokosea 'Mheshimiwa sana' huyo ni kuwa Mafia haiko Lindi. Au ndo ameshaanza kushughulikiwa bila yeye kujijua?!!! Asije akajikuta anapifa kampeni jimbo la mtu mwingine.
hawa waganga wanaoganga wanasiasa saa zingine, wanachota na kugeuza akili, mioyo na fikra za watangaza na kuwavisha ujasiri na uhakika wa kupindukia, ambao bahati mbaya akakwama, huyo jamaa haitachukua zaidi ya wiki2 anaweza ku R.I.P🐒

kwa stress, msongo wa mawazo na utajiri wa mtia nia ulonyonywa na mganga hadi kua maskini wa kutupwa ndani ya kipindi kifupi 🐒

Uongozi watoka kwa Mungu,
Sauti Ya Wengi Sauti Ya Mungu..
 
Ushamba mbaya sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Nikajua born twn,kumbe mrugaruga,haya wasalimu huko umatumbini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…