Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Kama mgeni na umefikia ushuani,ukaenda posta kidogo then ukaondoka utapaona pazuri sana
tandale, mburahati, manzese, mbagala, ukonga, keko, g.mboto, vingunguti, nako pia ni ushuani kwa kipekee sana πŸ’
 
Mi nikajua we ni Chalamila....mla lile jani letu
 
eeh kweli!! kumbe Tanzania yote taifa la bongo(janja janja jazz band). sasa ni muda wa kukaa karibu na wadaaNganyika wa vijijini kinafiki ili mpate ULAJI, kisha mrudi MAHEKALUNI mwenu kufanya KARAMU na TAFRIJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…