Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

Kama mgeni na umefikia ushuani,ukaenda posta kidogo then ukaondoka utapaona pazuri sana
tandale, mburahati, manzese, mbagala, ukonga, keko, g.mboto, vingunguti, nako pia ni ushuani kwa kipekee sana 🐒
 
eeh kweli!! kumbe Tanzania yote taifa la bongo(janja janja jazz band). sasa ni muda wa kukaa karibu na wadaaNganyika wa vijijini kinafiki ili mpate ULAJI, kisha mrudi MAHEKALUNI mwenu kufanya KARAMU na TAFRIJA.
 
Back
Top Bottom