Kusema ukweli hii Buku 7 haitutoshi kwa maisha haya. Mtufikirie na sisi

Traatlaah njoo na wenzako mjibu Tuhuma, labda ninyi mnalipwa palefu
 
Daktari Samia (PhD) anauzika bila propaganda, kwa maendeleo aliyofanya hahitaji wasemaji
...'Maendeleo aliyoyafanya'... Emb kuwa mkweli raia!

Ni maendeleo gani aliyoyafanya ukiacha ile miradi ya kumalizia aliyoianzisha na kuiacha Magufuli?

Mi naona nchi nzima miradi yote imekwama.

Tutajie miradi ya kitaifa aliyoibuni ikamalizika na ile inayoendelea kutekelezwa hadi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…