Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau