Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

1000% i agree Tanzania yote na dunia nzima inajua hilo, JPM has been out classed, out performed in just two years, nasema hadi Mama Samia akifikisha miaka 6 madarakani, aiseee tutaona makubwa sana, nasema ukweli 100% toka rohoni, moyoni na mwilini mwangu. Mungu amlinde sana huyu Mama yetu, hakika huyu ni Mama kwa vitendo. Eeehh Mwenyezi Mungu tusikie maombi yetu, Amen amen..!!
Wewe Tahira
 
MIGODI YA MADINI INAUZWA KWA BEI CHEEE ,



WANYAMA WA MWITUNI WANAPANDISHWA MIDEGE KWENDA. UARABUNI SIJUI WATARUDI AU KWISHA HIYOOOOO


MIKOPO DAILY



MALIZIA





IMEBAKI MUDA TUUU NA WEWE HUUZWE


MAANA. NCHI IMEKWISHA UZWA
Mimi nashangaa mikopo inakopwa na haijulikani inaenda wapi
 
SIku nyingine ni vyema kulinganisha vitu vinavyofanana makundi.
Sasa ona unalinganisha kiumbe mtu na kiumbe shetani.
Joni ni kundi la shetani.
Hata wewe pia ni Shetani.
Kwa maana mwenye uwezo wa kumuhukumu mtu ni ''Ultimate Intelligence'' pekee sio wewe kidampa wa shetani.
Shame Upon You, unajifanya special! Special for what?
Kama wewe hauoni umuhimu wake wengine wanauona........next time ni vyema ukafunga hilo domo lako kama huna cha ku-comment.
 
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
Naafiki
 
Back
Top Bottom