Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #101
Kabisa kabisa MkuuViva Samia, Viva Tanzania
Amani, upendo, mshikamano vimerejea Tanzania, huku maendeleo hayajabaki nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisa MkuuViva Samia, Viva Tanzania
Amani, upendo, mshikamano vimerejea Tanzania, huku maendeleo hayajabaki nyuma
True amemzidi hata kwa safari za nje wakati jumla za safari za jpm kwa miaka 5 zilikuws 3 za sa100 kwa miaka 2 tu zimefika 15Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Mtangulizi wake kaacha 6billion usd .yeye na mwingulu amezitapanya kufiksha 3billoon usdHazina ilikombwa na walioluwepo kabla yake.
Faida unaipimaje .kwa muachia mafisadi hazinaMimi ni Mkristo Mkatoliki niliwa kuwambia watu kuna haja tuweke Utaratubu Nchi hii waislam ndio wawe marais tu.
Walinipopoa kwa Mawe wakisema mimi ni mdini.
lakini ukiangalia Trends hizo utaona Marais wa Kikristo hawana faida kwa Taifa hili.
Sawa pamoja na hayo tuendelee kutafakariKwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Basi watakuwa washika dau wa umoja party 🤔Wako wanazi wenye shingo ngumu akina Jilala, USSR, Nigrastrat tract na Troiker
Uko sahihiKama hadi CHADEMA wameamua kwa hiari yao kumpa tuzo Mama Samia sasa kenge mwingine akipinga si ataonekana mwehu? Tumechelewa sana kumpata huyu Mama kama kiongozi wetu. Hayati tunamshukuru kwa mema yake ila kazidiwa mbali sana kwenye mambo ya uongozi... Mama Samia ni wa kipekee.
Faida unaipimaje .kwa muachia mafisadi hazina
Hao wazinzi achana nao bwana. Tujadili mambo ya maanSawa pamoja na hayo tuendelee kutafakari
Zile walizochota wateule wake kipindi cha msiba akina Bashuru ziko wapi.Mtangulizi wake kaacha 6billion usd .yeye na mwingulu amezitapanya kufiksha 3billoon usd
Kweli kabisa naunga mkono hoja ,maana ingekua ni mtihani kwenye masomo yafuatayo ,Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Pumba tupu. Labda kamzidi kwenye kulea majizi na wapigadili. In fact Tanzania imepata the worst leader tangu ipate uhuru.Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Ina hasira utadhani hii nchi ni ya baba yako.Pumba tupu. Labda kamzidi kwenye kulea majizi na wapigadili. In fact Tanzania imepata the worst leader tangu ipate uhuru.
Umezipangilia vizuri sanaKweli kabisa naunga mkono hoja ,maana ingekua ni mtihani kwenye masomo yafuatayo ,
1)demokrasia -mama 75,magufuli-0
2)uchumi-mama 65,magufuli-40
3)diplomasia -mama 90,magufuli-10
4)elimu-mama 72,magufuli-70
5)utawala wa Sheria-mama 90,magufuli 30.
6)afya-mama 85, magufuli 78
7)n.k
Mama amemuacha parefu sana hayati magufuli ,Ila ni mwenye Akili kubwa tu anaye weza kujua.
Kazi kweli kweliMIGODI YA MADINI INAUZWA KWA BEI CHEEE ,
WANYAMA WA MWITUNI WANAPANDISHWA MIDEGE KWENDA. UARABUNI SIJUI WATARUDI AU KWISHA HIYOOOOO
MIKOPO DAILY
MALIZIA
IMEBAKI MUDA TUUU NA WEWE HUUZWE
MAANA. NCHI IMEKWISHA UZWA
Tena Kwa Kila kitu, Magufuli alichomzidi Samia ni uthubutu wa kufanya maamuzi bila kujali athari zake..Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Huo ni uongo na uzushi,hakuna unaweza onesha wanyama wakipandishwa ndege Wala Mgodi wa bei Chee haupo..Kazi kweli kweli