Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
True amemzidi hata kwa safari za nje wakati jumla za safari za jpm kwa miaka 5 zilikuws 3 za sa100 kwa miaka 2 tu zimefika 15
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki niliwa kuwambia watu kuna haja tuweke Utaratubu Nchi hii waislam ndio wawe marais tu.

Walinipopoa kwa Mawe wakisema mimi ni mdini.

lakini ukiangalia Trends hizo utaona Marais wa Kikristo hawana faida kwa Taifa hili.
Faida unaipimaje .kwa muachia mafisadi hazina
 
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
Sawa pamoja na hayo tuendelee kutafakari

  1. TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali
  2. Maharagande: Naibu Waziri TAMISEMI Ajiuzulu
  3. Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo
 
Kama hadi CHADEMA wameamua kwa hiari yao kumpa tuzo Mama Samia sasa kenge mwingine akipinga si ataonekana mwehu? Tumechelewa sana kumpata huyu Mama kama kiongozi wetu. Hayati tunamshukuru kwa mema yake ila kazidiwa mbali sana kwenye mambo ya uongozi... Mama Samia ni wa kipekee.
 
Uko sahihi
 
MIGODI YA MADINI INAUZWA KWA BEI CHEEE ,

WANYAMA WA MWITUNI WANAPANDISHWA MIDEGE KWENDA. UARABUNI SIJUI WATARUDI AU KWISHA HIYOOOOO

MIKOPO DAILY

MALIZIA

IMEBAKI MUDA TUUU NA WEWE HUUZWE

MAANA. NCHI IMEKWISHA UZWA
 
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
Kweli kabisa naunga mkono hoja ,maana ingekua ni mtihani kwenye masomo yafuatayo ,
1)demokrasia -mama 75,magufuli-0
2)uchumi-mama 65,magufuli-40
3)diplomasia -mama 90,magufuli-10
4)elimu-mama 72,magufuli-70
5)utawala wa Sheria-mama 90,magufuli 30.
6)afya-mama 85, magufuli 78
7)n.k
Mama amemuacha parefu sana hayati magufuli ,Ila ni mwenye Akili kubwa tu anaye weza kujua.
 
Pumba tupu. Labda kamzidi kwenye kulea majizi na wapigadili. In fact Tanzania imepata the worst leader tangu ipate uhuru.
 
Ina hasira utadhani hii nchi ni ya baba yako.
 
Kweli kabisa naunga mkono hoja ,maana ingekua ni mtihani kwenye masomo yafuatayo ,
1)demokrasia -mama 75,magufuli-0
2)uchumi-mama 65,magufuli-40
3)diplomasia -mama 90,magufuli-10
4)elimu-mama 72,magufuli-70
5)utawala wa Sheria-mama 90,magufuli 30.
6)afya-mama 85, magufuli 78
7)n.k
Mama amemuacha parefu sana hayati magufuli ,Ila ni mwenye Akili kubwa tu anaye weza kujua.
Umezipangilia vizuri sana
 
MIGODI YA MADINI INAUZWA KWA BEI CHEEE ,

WANYAMA WA MWITUNI WANAPANDISHWA MIDEGE KWENDA. UARABUNI SIJUI WATARUDI AU KWISHA HIYOOOOO

MIKOPO DAILY

MALIZIA

IMEBAKI MUDA TUUU NA WEWE HUUZWE

MAANA. NCHI IMEKWISHA UZWA
Kazi kweli kweli
 
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
Tena Kwa Kila kitu, Magufuli alichomzidi Samia ni uthubutu wa kufanya maamuzi bila kujali athari zake..

Maamuzi ya Mihemko yatalicost Taifa Kwa mda mrefu ujao,kitila aliita Ushauri wa kishujaa Ili kulisha hadhi japo ukweli ni kwamba ni maamuzi ya kukurupuka 😁😁
 
Back
Top Bottom