Sherehe ilikwisha siku ile bro. Kila timu kwenye league ina malengo 5, kupata zawadi ya mshindi na fedha, kupata nafasi ya kushiriki mashindano ya kimataifa, kuwafurahisha mashabiki wake kwa kumfunga mpinzani wake mkuu na kujitangaza. Siku ile yote yalitimia mbele ya mgeni rasmi.
Siku ile, Wachezaji walipata pesa kuliko za mshindi wa league, walijihakikishia kishiriki mashindano ya kimataifa, mashabiki walifirahi sana, na walifanya hivyo mbele ya camera na Rais wa nchi akiwepo na watu wengi uwanjani, majumbani na kimataifa wakiangalia. Kuna nini tena hapo?