Kada mwenzio huyo ujueMkuu Wewe na Nyerere, NYerere na Wewe!
Inaudhi sana kwa kweli
God first
Uongo ubaguzi ndiyo unaletwa sasa na washambahawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
Hata ubaguzi ni CCM mpya ndiyo ime introduce ubaguzi, sehemu walipochagua wapinzani wananyimwa maendelo wakihoji wanaambiwa wakawaulize walio wachagua.Walioifilisi nji hii ni ccm tu ila sio wakoloni.
Unafahamu nyerere alikuwa na maana gani kuzuia shughuli za uchimbaji wa madini Tanganyika Na Akasema tutakuja kuchimba wenyewe Siku tukiwa tumeendelea??????Hayo Masalia waliyatoa wapi? Waliyakuta tumeyahifadhi kwenye Makumbusho tuliojenga huko Mtwara? Na tumeanza kusikia au kujua kuhusu hayo masalia lini? Na nani aliyefanya archeoligical survey na kuyachimba, kiinganisha vipande vipande na kuyatunza? Ni sisi?
waasisi wa tanu na ccm ni watu wa mwambao ambao wengi walipokea dini ya mwarabu hawa ndiyo waliochangia kujaza propaganda kuwa wazungu wa ile dini ya magharibi kuwa ni wabaya sana. watu hawa wa mwambao wameshiriki sana katika kuandika vitabu vya kufundishia shule zetu, vitabu vyenye kujaa historia ya upotoshaji.
jiulize jambo moja: ni wapi waarabu walijenga japo mita moja ya reli? ukinitajia nidai buku.
Jama huyo lazima ajitambue. Hajui kwamba Babu zetu na Bibi zetu walipelekwa utumwani kituo cha kuondokea kikiwa hapa Tz bandari ya Bagamoyo wakateseka sana na wengine wakafia njiani wakipelekwa ulaya na America kwenda kufanya kazi ngumu na ndo sababu wenzetu walitajirika sisi bado tupo na uchumi duni.Kama hujui ubaya wa wakoloni mpaka umri huo basi bora unyamaze
Fedha zote Wajerumani walitoa, na wao walipewa kama mkopo huko kwao na hawakuweza kurudisha shauri Vira Kuu ya Dunia ilianza, kumbuka Ujerumani wakikaa hapa chini ya miaka 30, sass hiyo ni michache sana kuweza kurudisha fedha wakiowekeza kwenye miradi yote waliojenga.
Kitabu kipi kimeandika Mwarabu alijenga reli ?waasisi wa tanu na ccm ni watu wa mwambao ambao wengi walipokea dini ya mwarabu hawa ndiyo waliochangia kujaza propaganda kuwa wazungu wa ile dini ya magharibi kuwa ni wabaya sana. watu hawa wa mwambao wameshiriki sana katika kuandika vitabu vya kufundishia shule zetu, vitabu vyenye kujaa historia ya upotoshaji.
jiulize jambo moja: ni wapi waarabu walijenga japo mita moja ya reli? ukinitajia nidai buku.
Wakoloni wameondoka miaka zaidi ya 50 iliyopita. Kinachowafanya mshindwe kubadilika hadi sasa ni nini kama sio akili mbovu na uvivu ?hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
Kwani na wewe uliuza ndugu zako?Ngoja nikuulize swali simpo sana, kama leo hii Meli ikipaki bandari zetu Dar, Tanga au Mtwara na kusema wanaotaka kwenda Ulaya au Uarabuni kuwa Watumwa wapande, unafikiri Meli zitaondoka tupu?
Isitoshe usisahahu utumwa una pande mbili, hata sisi tulikamata na kuuza ndugu zetu pia, hao waliuza babu zetu kwa Mkoloni utawadai fidia pia?
Ingetuonesha ubaya wao kuliko kumnyamazisha ndugu.Kama hujui ubaya wa wakoloni mpaka umri huo basi bora unyamaze
hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri