Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo watu wanapopitishwa 'bila kupingwa' bila ridhaa yetu kunatofautiana vipi na enzi hizo? Unapocomment jambo jiridhishe kwanza.hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
na kazia na mimi katika komenti yako hii.Nimeipenda sana mada yako ya leo. Nafikiri ni moja kati ya Mara bora zaidi ulizowai kutoa humu jamvini.
Kuna siku tutapata akili na kujua Tatizo ni nini? Na hapo ndipo Tanzania itakapopata maendeleo ya kweli
Kwani wewe ulipo hapo ni mtakatifu?hayo uliyoyataja hapo kwa sasa Tanzania hayatokei?.
we unahoji pesa za mkongwe.. unasahau mmatumbi mwenzio alikula pesa za maafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui ubaya wa wakoloni mpaka umri huo basi bora unyamaze
Sina utakatifu wowote..Kwani wewr ulipo hapo ni mtakatifu?