Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,196
- 1,456
Hizo story za viongozi wetu tuwaone wa maana mbona wanatubagua kiitikadi, ukiwa chadema humo makazini au sehemu za biashara viongozi wa serikali wanakuona adui wa nchi hata kama unachapa kazi kwa mjibu wa sheria, taratibu na miongozo. Hiyo inatofauti gani na mkoloni. Katiba yetu inaruhusu vyama vingi lkn uonezi ni mkubwa sana kwa wapinzani. Hayo ndo aliokuwa anafanya mkoloni.hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
Jokajeusi hivi unajua maana ya neno Dunia ya tatu? Je hiyo ya kwanza na ya pili ni ipi? Hiyo ndo divide and rule do not depend on it.
Kitabu kipi kimeandika Mwarabu alijenga reli ?
ukikileta nachana kadi ya CHADEMA Hadharani.
Bashiru yupi? Katibu Mkuu wa CCM?CC mohamedi said na wenzake kina Bashiru na siasa za majitaka ya Leo
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
(1) Awamu ya kwanza ilizalisha wajamaa uchwara
Nyerere alikuwa na mawazo mazuri kuhusu uchimbaji wa madini.Unafahamu nyerere alikuwa na maana gani kuzuia shughuli za uchimbaji wa madini Tanganyika Na Akasema tutakuja kuchimba wenyewe Siku tukiwa tumeendelea??????
Aliyeongelea habari ya utumwa wala hajui historia ya nchi yetu kwa sababu wazungu mwishowe hawakutaka biashara ya utumwa wakati walipokuja huku Afrika Mashariki.Ngoja nikuulize swali simpo sana, kama leo hii Meli ikipaki bandari zetu Dar, Tanga au Mtwara na kusema wanaotaka kwenda Ulaya au Uarabuni kuwa Watumwa wapande, unafikiri Meli zitaondoka tupu?
Isitoshe usisahahu utumwa una pande mbili, hata sisi tulikamata na kuuza ndugu zetu pia, hao waliuza babu zetu kwa Mkoloni utawadai fidia pia?
WAHARABU---ni jamii ya wanyama wakatili sana. wamewatesa na kuwauwa babu zetu. Nikiwaangalia kwakweli mwili unasisimuka hataleSijui kwa watu wa mwambao unamaanisha nini, lkn kama ni Waarabu walijenga pia tena sana tu mfano Stone town Zanzibar, Miji mashuhuri na ya kihistoria kama Kilwa, Bandari Mikindani, hata ramani ya reli treni kutoka Kigoma - Dar ilifuata Karavani, Wajerumani hawakubadilisha kitu waliweka mataruma tu kwa ramani ambayo tayari ilikuwepo.
Lkn Mada haihusu Waarabu vs Muzungu.
Ikulu yenyewe imejengwa na mwarabu na majengo mengi tu ya miji mikongwe Mjerumani aliipora kutoka kwa mwarabuSijui kwa watu wa mwambao unamaanisha nini, lkn kama ni Waarabu walijenga pia tena sana tu mfano Stone town Zanzibar, Miji mashuhuri na ya kihistoria kama Kilwa, Bandari Mikindani, hata ramani ya reli treni kutoka Kigoma - Dar ilifuata Karavani, Wajerumani hawakubadilisha kitu waliweka mataruma tu kwa ramani ambayo tayari ilikuwepo.
Lkn Mada haihusu Waarabu vs Muzungu.
Waliiba, wanaiba na wataiba....hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri