Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"