Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?
Yaani nikisikia mtu mbele yangu anaisifia hiyo mikoa natamani kumpiga kofi na kiukweli nikipita hiyo mikoa najihisi kinyaa na kichefu sasa nimejiuliza kuna shida gani Mimi
Nimeishi vizuri sana na watu wa mikoa hiyo ni watu wazuri kiukweli ila shida inakuja kuhusu mikoa yao imenifanya nini na ukiniuliza shida nini siwezi kukuambia sina jibu kabisa huu unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili?