Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mapepo nenda kwa mwamposa 🤣Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?
Yaani nikisikia mtu mbele yangu anaisifia hiyo mikoa natamani kumpiga kofi na kiukweli nikipita hiyo mikoa najihisi kinyaa na kichefu sasa nimejiuliza kuna shida gani Mimi
Nimeishi vizuri sana na watu wa mikoa hiyo ni watu wazuri kiukweli ila shida inakuja kuhusu mikoa yao imenifanya nini na ukiniuliza shida nini siwezi kukuambia sina jibu kabisa huu unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili?
Lakini uyasemayo yana ukweli ndani yake nimeshashuhudia chuki za wazi wazi za watu wa kanda ya ziwa juu ya mikoa ya kaskazini, mbeya na iringa labda kwa vile hzo sehemu zinabaridi 😄 lakin siku tukipata kiongoz akatoka kanda ya ziwa mikoa tajwa lazima iteseke sana sijui waliwafanyiaga nini hawa watu wana chuki ya asil hata mtoto mdogo akizaliwa tu mwanza au shy atajikuta anaichukia arusha na klm 😄 labda kulishawah kuwa na vita before you never knowWakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?