Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Yajs mikoa yako pendwaWakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?
Yaani nikisikia mtu mbele yangu anaisifia hiyo mikoa natamani kumpiga kofi na kiukweli nikipita hiyo mikoa najihisi kinyaa na kichefu sasa nimejiuliza kuna shida gani Mimi
Nimeishi vizuri sana na watu wa mikoa hiyo ni watu wazuri kiukweli ila shida inakuja kuhusu mikoa yao imenifanya nini na ukiniuliza shida nini siwezi kukuambia sina jibu kabisa huu unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili?
Uichukia je wewe mkoa wako wa asili ni upi?Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?
Yaani nikisikia mtu mbele yangu anaisifia hiyo mikoa natamani kumpiga kofi na kiukweli nikipita hiyo mikoa najihisi kinyaa na kichefu sasa nimejiuliza kuna shida gani Mimi
Nimeishi vizuri sana na watu wa mikoa hiyo ni watu wazuri kiukweli ila shida inakuja kuhusu mikoa yao imenifanya nini na ukiniuliza shida nini siwezi kukuambia sina jibu kabisa huu unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili?
Kacheki akili kama ipo sawa na kama upo sawa basi ni viwu tu unakusumbua.Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?
Yaani nikisikia mtu mbele yangu anaisifia hiyo mikoa natamani kumpiga kofi na kiukweli nikipita hiyo mikoa najihisi kinyaa na kichefu sasa nimejiuliza kuna shida gani Mimi
Nimeishi vizuri sana na watu wa mikoa hiyo ni watu wazuri kiukweli ila shida inakuja kuhusu mikoa yao imenifanya nini na ukiniuliza shida nini siwezi kukuambia sina jibu kabisa huu unaweza kuwa ni ugonjwa wa akili?
Haitakisaidia mfu kufufukaUnahitaji Mental rehabilitation Therapy.
Hii ni zaidi ya kaza moyo au sikinde ngoma ya ukae 😆.Haitakisaidia mfu kufufuka
Huyu atakuwa ndugu yake jiwe TU!Ni kawaidaa Mtanzania kuchukia wenzake wenye maendeleo..
Wivu na chuki =uchawiHapo Anza na
1.Arusha
2.Kilimanjaro
3.Mbeya
Ukweli nakuunga mkono
Kwa tz mkoa ni Mwanza na Dar
Wivu na chuki =uchawi
Ni wivu uliochanganyika na ukabila utasumbuka sana mkuu.Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?