Kusema za ukweli naichukia Arusha na Kilimanjaro pamoja na Mbeya

Una mapepo nenda kwa mwamposa 🤣
Na hiyo ndo mikoa inayotembelewa na wageni wengi wakija nchin
 
Lakini uyasemayo yana ukweli ndani yake nimeshashuhudia chuki za wazi wazi za watu wa kanda ya ziwa juu ya mikoa ya kaskazini, mbeya na iringa labda kwa vile hzo sehemu zinabaridi 😄 lakin siku tukipata kiongoz akatoka kanda ya ziwa mikoa tajwa lazima iteseke sana sijui waliwafanyiaga nini hawa watu wana chuki ya asil hata mtoto mdogo akizaliwa tu mwanza au shy atajikuta anaichukia arusha na klm 😄 labda kulishawah kuwa na vita before you never know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…