THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari wanajukwaa.
Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu.
Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO INATAKUWA UWE MJINGA.
1:Hivi niulize Leo Nani hajui Ubora wa CSKA MOSCOW? Simba ilicheza nao ila Watani wakasema Team hovyohovyo mara kuna vita kule😂😂🙌
2:Simba Wakatoa Mfungaji Bora wa goli la CAF Mashabiki wa Simba wakaibeba Ile Tuzo as If ni ya Team go back Messi kabeba World Cup umeona Mashabiki wa PSG wakipiga Mapambio??😂😂
3:Ikaja Issue ya Feisal na Yanga Watu wakatoa Maneno sana huku haijulikani issue ipo vipi...At the End Yanga wakashinda Case na Ligi wanaendelea Kushinda Match zao😂
4:Simba Ni Team Iliyo na mafanikio Makubwa Kwenye Michuano ya Nje ila haiishi kusemea Yanga kua watatoka mapema kuliko kusema Wenyewe wamejipanga Vipi kufika Mbali zaidi😂
5:Halaf Team ya Simba imeachwa Point 6 clear halaf inafuraha kubwa kuliko Yanga😂 hivi utakua na Akili kweli kama unawaza Yanga atapoteza Match 2??
6:Simba ina shinda goli nyingi sana Match zake na ndio ina wastan wa magoli mengi ila Yanga aanshinda goli 1 au 2 ila anaambiwa kanunua Match😂😂
Kuna Vitu Vingi vinakera sana kwenye soka la Bongo hadi watu wengine humu wanakera yani imekua Jamii Forum Jukwaa la Sport kama MAGAZETI tu watu wanaleta Thread za Hisia sana ndio maana nikasema KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO LAZIMA UWE MJINGA KIDOGO.