mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Sio mjinga, uwe umefyatuka akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba urafiki na wewe First Born maana naona una akili timamu kuliko Mazuzu wengi waliojazana timu za Kariakoo.Habari wanajukwaa.
Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu.
Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO INATAKUWA UWE MJINGA.
1:Hivi niulize Leo Nani hajui Ubora wa CSKA MOSCOW? Simba ilicheza nao ila Watani wakasema Team hovyohovyo mara kuna vita kule[emoji23][emoji23][emoji119]
2:Simba Wakatoa Mfungaji Bora wa goli la CAF Mashabiki wa Simba wakaibeba Ile Tuzo as If ni ya Team go back Messi kabeba World Cup umeona Mashabiki wa PSG wakipiga Mapambio??[emoji23][emoji23]
3:Ikaja Issue ya Feisal na Yanga Watu wakatoa Maneno sana huku haijulikani issue ipo vipi...At the End Yanga wakashinda Case na Ligi wanaendelea Kushinda Match zao[emoji23]
4:Simba Ni Team Iliyo na mafanikio Makubwa Kwenye Michuano ya Nje ila haiishi kusemea Yanga kua watatoka mapema kuliko kusema Wenyewe wamejipanga Vipi kufika Mbali zaidi[emoji23]
5:Halaf Team ya Simba imeachwa Point 6 clear halaf inafuraha kubwa kuliko Yanga[emoji23] hivi utakua na Akili kweli kama unawaza Yanga atapoteza Match 2??
6:Simba ina shinda goli nyingi sana Match zake na ndio ina wastan wa magoli mengi ila Yanga aanshinda goli 1 au 2 ila anaambiwa kanunua Match[emoji23][emoji23]
Kuna Vitu Vingi vinakera sana kwenye soka la Bongo hadi watu wengine humu wanakera yani imekua Jamii Forum Jukwaa la Sport kama MAGAZETI tu watu wanaleta Thread za Hisia sana ndio maana nikasema KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO LAZIMA UWE MJINGA KIDOGO.
Ofcourse lolote linaweza Tokea kwenye Mpira, ila sio kuweka 100% kua atafungwa kwenye mpira hilo halipo hua tunasema siku zote shinda Match zako halaf upande wa Pili utasema ashinde na yeye Match zake au utasema Lolote litatokea sio kusema Atapigwa Noo.Mkuu samahani wewe pia ni juha wa soja la bongo, kama unabisha soma vizuri hoja namba 5 uliyoiandika.
Kwanini huyi Yanga asifungwe wakati tunaamini kwenye mpira lolote linaweza kutokea
Usijewarithisha hata watoto wako huu ujinga sasa.Hujalazimishwa kuupenda mpira wetu we shabikia kule kwa wasio wajinga... Soka letu kivyetuvyetu usitupangie
Naam mkuu yan wasemaji wa Team kama waimba Taarabu!!Wasemaji wa timu wana popularity kubwa full makamera
Nashukuru kwa mawazo yako mkuu.Naomba nitie neno kwenye huu uzi.
Nikiri kusema siyo Tanzania tu. Bali ni Dunia nzima. Angalia mataifa ya Amerika kusini(Huku kuna machizi wa Soka kabisa), North Africa, Hata baadhi ya mataifa ya Ulaya na Asia.
So, Kwanini ipo hivi? Ushabiki au mapenzi ya mpira wa miguu ni more emotional than Logical investment.
So, kama tunavyotambua popote ambapo hisia itazidi logic, suala la Facts kamwe hutalipata kabisa. So sina tatizo kabisa na Die hard fans.
Sasa tofauti yetu na wao ipo kwenye professionalism.
Huku kwetu ukitoa jina au cheo chake, Ni ngumu sana kutofautisha kati ya kiongozi na shabiki. Kumkuta Kiongozi mkubwa, Msemaji wa timu au Mchambuzi anaropoka mambo ya kishabiki ni kawaida sana. Hapa bado tuna mengi ya kujifunza.
Ila hizo point ulizotaja zina walakini,hazina uhusiano wa kutokua shabiki mwenye akili nyingi au kidogo. Nakuja kueleza why?
Umeelewa nilivyosema Team kama Team inafanya hivo hio ipo sawa.. ila sio Nyie mashabiki kutengeneza kampeni kama Tuzo yenu umenielewa??Mengi uliyoandika hayana mashiko. Inawezekana kweli mashabiki ni wajinga ila sio kwa hoja zako zote. Baada ya WC pale PSG Messi kapokelewa kwa heshima na klabu. Si PSG tu bali Man city kwa Alvarez na Man U kwa Martinez kote klabu na mashabiki wamejivunia hayo mafanikio yao ya WC .
Hoja nyingine ya kutoiwazia Yanga kufungwa mechi 2 hii hoja inakuweka na wewe ni shabiki mjinga. Inawezekana kweli ni ngumu yanga kufungwa mechi 2 ila kuiwazia kufungwa hizo mechi sio ujinga sababu matokeo ya mpira ni baada ya dakika tisini na kama unaamini kwa yanga haipo hivyo basi ndio ujinga wenyewe.
Ushaona🤣🤣Njia nzima ni Simbaaa, Simbaas
Hiyo namba moja ni kwamba CSKA Moscow walikuwa serious na mchezo kama vile wachezaji mechi ya mashindano?Habari wanajukwaa.
Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu.
Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO INATAKUWA UWE MJINGA.
1:Hivi niulize Leo Nani hajui Ubora wa CSKA MOSCOW? Simba ilicheza nao ila Watani wakasema Team hovyohovyo mara kuna vita kule[emoji23][emoji23][emoji119]
2:Simba Wakatoa Mfungaji Bora wa goli la CAF Mashabiki wa Simba wakaibeba Ile Tuzo as If ni ya Team go back Messi kabeba World Cup umeona Mashabiki wa PSG wakipiga Mapambio??[emoji23][emoji23]
3:Ikaja Issue ya Feisal na Yanga Watu wakatoa Maneno sana huku haijulikani issue ipo vipi...At the End Yanga wakashinda Case na Ligi wanaendelea Kushinda Match zao[emoji23]
4:Simba Ni Team Iliyo na mafanikio Makubwa Kwenye Michuano ya Nje ila haiishi kusemea Yanga kua watatoka mapema kuliko kusema Wenyewe wamejipanga Vipi kufika Mbali zaidi[emoji23]
5:Halaf Team ya Simba imeachwa Point 6 clear halaf inafuraha kubwa kuliko Yanga[emoji23] hivi utakua na Akili kweli kama unawaza Yanga atapoteza Match 2??
6:Simba ina shinda goli nyingi sana Match zake na ndio ina wastan wa magoli mengi ila Yanga aanshinda goli 1 au 2 ila anaambiwa kanunua Match[emoji23][emoji23]
Kuna Vitu Vingi vinakera sana kwenye soka la Bongo hadi watu wengine humu wanakera yani imekua Jamii Forum Jukwaa la Sport kama MAGAZETI tu watu wanaleta Thread za Hisia sana ndio maana nikasema KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO LAZIMA UWE MJINGA KIDOGO.
Tusipangiane aisee...Usijewarithisha hata watoto wako huu ujinga sasa.
Uwe kama hazimo😂😂Sio mjinga, uwe umefyatuka akili.
Wewe mjinga sana kwani kununua mechi mpaka ufunge magoli 100?Kununua mechi muhimu point 3 goli zozote zileHabari wanajukwaa.
Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu.
Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO INATAKUWA UWE MJINGA.
1:Hivi niulize Leo Nani hajui Ubora wa CSKA MOSCOW? Simba ilicheza nao ila Watani wakasema Team hovyohovyo mara kuna vita kule[emoji23][emoji23][emoji119]
2:Simba Wakatoa Mfungaji Bora wa goli la CAF Mashabiki wa Simba wakaibeba Ile Tuzo as If ni ya Team go back Messi kabeba World Cup umeona Mashabiki wa PSG wakipiga Mapambio??[emoji23][emoji23]
3:Ikaja Issue ya Feisal na Yanga Watu wakatoa Maneno sana huku haijulikani issue ipo vipi...At the End Yanga wakashinda Case na Ligi wanaendelea Kushinda Match zao[emoji23]
4:Simba Ni Team Iliyo na mafanikio Makubwa Kwenye Michuano ya Nje ila haiishi kusemea Yanga kua watatoka mapema kuliko kusema Wenyewe wamejipanga Vipi kufika Mbali zaidi[emoji23]
5:Halaf Team ya Simba imeachwa Point 6 clear halaf inafuraha kubwa kuliko Yanga[emoji23] hivi utakua na Akili kweli kama unawaza Yanga atapoteza Match 2??
6:Simba ina shinda goli nyingi sana Match zake na ndio ina wastan wa magoli mengi ila Yanga aanshinda goli 1 au 2 ila anaambiwa kanunua Match[emoji23][emoji23]
Kuna Vitu Vingi vinakera sana kwenye soka la Bongo hadi watu wengine humu wanakera yani imekua Jamii Forum Jukwaa la Sport kama MAGAZETI tu watu wanaleta Thread za Hisia sana ndio maana nikasema KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO LAZIMA UWE MJINGA KIDOGO.
Boraa umesema wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwny namba 5 ...unataka tulie mkuu?.sisi tuna furaha na timu yetu [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mtoa mada ni utopwinyo unatuonea gere furaha yetu
Utopoloooo!!Timu yenu ya mbumbumbu fc, siyo!!
Yani na wewe hapo unataka watanzania tukuelewe...ah hatujafikia ujinga mkubwa kiasi hichoMpira wa Tanzania na ndio maana hutakuja muona mchambuzi makini amekijika katika maswala ya Bongo BIG NO.
Kwa sababu Watu kama nyie hamuelezwi kitu mkaelewa.