Kushabikia Mpira wa Tanzania Inatakiwa Uwe Mjinga kidogo

Naomba urafiki na wewe First Born maana naona una akili timamu kuliko Mazuzu wengi waliojazana timu za Kariakoo.
 
Mkuu samahani wewe pia ni juha wa soja la bongo, kama unabisha soma vizuri hoja namba 5 uliyoiandika.

Kwanini huyi Yanga asifungwe wakati tunaamini kwenye mpira lolote linaweza kutokea
Ofcourse lolote linaweza Tokea kwenye Mpira, ila sio kuweka 100% kua atafungwa kwenye mpira hilo halipo hua tunasema siku zote shinda Match zako halaf upande wa Pili utasema ashinde na yeye Match zake au utasema Lolote litatokea sio kusema Atapigwa Noo.
Yan ni sawa na saiv unasema Aseno atapoteza Match had Man U ampate😂😂
Utachekesha ila utasema Man U ashinde Match zake tuone inaishia wapi sio kujipa 100% kua Man u atamfikia Aseno.
Hicho cha kujipa 100% Watanzania Ndio tunacho na tunakua tunabisha huku tumetoa Macho yote.
 
Nashukuru kwa mawazo yako mkuu.
Ila huo umbumbu sisi tunao sana ushabiki wetu unajanja janja sana hadi kwa wachambuzi wetu.
Nakubaliana na wewe kwenye Die Hard Fans ila huku Bongo wapo wachache sana ukiwa Die Hard Fan ina maanisha uwe mtu wa Team yako sio wa Maneno neno sana hadi kwenye maswala yasiyo kuhusu.
 
Umeelewa nilivyosema Team kama Team inafanya hivo hio ipo sawa.. ila sio Nyie mashabiki kutengeneza kampeni kama Tuzo yenu umenielewa??
 
Hiyo namba moja ni kwamba CSKA Moscow walikuwa serious na mchezo kama vile wachezaji mechi ya mashindano?
 
Umejiandikia mashudu tu mzee baba huo muda bora ungeenda kunywa maji tu
 
Wewe mjinga sana kwani kununua mechi mpaka ufunge magoli 100?Kununua mechi muhimu point 3 goli zozote zile
 
Hii imakala umeandika Umevaa Nguo rangi gani!? Nyekundu na Nyeupe au Kijani na Njano!?

Jitambukishe kisha tuone nanmna ya kukusaidia
 
Hapo kwny namba 5 ...unataka tulie mkuu?.sisi tuna furaha na timu yetu [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mtoa mada ni utopwinyo unatuonea gere furaha yetu
Boraa umesema wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira wa Tanzania na ndio maana hutakuja muona mchambuzi makini amekijika katika maswala ya Bongo BIG NO.
Kwa sababu Watu kama nyie hamuelezwi kitu mkaelewa.
Yani na wewe hapo unataka watanzania tukuelewe...ah hatujafikia ujinga mkubwa kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…