Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Kama aliweza kujua kabla kuwa Mbowe atashambuliwa, anaeza pia kujua washambuliaji
 
Kwanini hajatumbuliwa??
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.
 
Amini nakwambia Mashimo hatokamatwa wala kuhojiwa.
 

Umetumia muda na kalamu kumimina mawazo yako hapa, muda unatoa ushahidi usio na shaka kuhusu tukio la Mbowe. Na kadri muda utakapo endelea ni wajinga tuu ndio hawato weza kujua ukweli na uwongo uliosemwa kuhusu tukio hili. Weka akiba ya maneno.
 
Umetumia muda na kalamu kumimina mawazo yako hapa, muda unatoa ushahidi usio na shaka kuhusu tukio la Mbowe. Na kadri muda utakapo endelea ni wajinga tuu ndio hawato weza kujua ukweli na uwongo uliosemwa kuhusu tukio hili. Weka akiba ya maneno.

Unasema;

"....Ni wajinga tu ambao hawatoweza kuujua "UKWELI na UONGO" uliosemwa juu ya tukio hili..."

Hujaeleweka, sijakuelewa hapo

å Je, sio kuwa kila mtu anataka kujua ukweli juu ya tukio hili?

å Sio hili tu mpaka la Tundu Lissu hapo mwaka 2017...

## Sasa iweje iwe ni ujinga mtu kutaka kuujua ukweli?
 
Nkurunzinza amekufa huku!
 
O
Ogopa sana kifutu,SUMU YAKE KALI!
 
The biggest benefit from our exchanges, I read how you think and present your literacy writings.
 
Ndugai anashangilia Mbowe kupigwa hata atakapo pata madhara yeye kuna watu watashangilia. Kwa hiyo ni vizuri anashangilia mapema akiwa fit maana kuna watu wanamsubiri waje washangilie.
 
Ccm wameshangilia sana mbowe kushambuliwa, tunakoelekea utofauti Wa siasa hatutazikana.Ni hatari sana
 
Hukumu ya Ndugaye anayo mungu pekee kwa jinsi anavyo wabagua na kuwadharau wapinzani pale bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…