Ni nani aliamuru askari wa lindo waondoke kwenye compaund ya nyumba hizo za viongozi kabla ya kutekeleza uhuni huo? Tuanzie hapo kwanza!!Fuso hebu tutoe Shaka.Inawezakana vipi wanaokupiga,wakuumize sehemu moja tu,halafu wakuache bila hata michubuko sehemu zingine?
Kudondoka kwa Mbowe siyo issue lakini kinachosababisha kuwe na mayowe ni yeye kudondoka kwa maulevi yake ya konyagi kisha kusingizia eti kavamiwa,kapigwa,kavunjwa mguu na wavamizi wakiwa wanasema eti akome kumtukana JPM. Mlevi kudondoka si lazima adondokee kisogo bali anaweza kudondoka vyovyote kulingana na position aliyopo. Kiuhalisia Mbowe hajawahi kumtukana Rais hata siku moja bali yeye huwa anajenga tu hoja zake ama ni nzuri au ni za kipumbavu(covid-19 lockdown)Kuna kikundi cha watu kinatumia nguvu Kubwa kuiaminisha jamii kuwa Mh. Mbowe alikuwa amelewa na hiyo ndo sababu ya kuvunjika mguu.
Kwanza ifahamike kwamba katika nchi yetu kulewa siyo kosa. Lakini pia kinacho shitua zaidi ni kwamba, wanao shabikia suala hili ni wale ambao siku za hivi karibuni walionyesha kukwaruzana na Mh. Mbowe.
Cha ajabu, mmojawapo anaye jaribu kuwaaminisha watu kuwa Mh. Mbowe alilewa ni spika Ndugai. Spika Ndugai akiwa kwenye kiti cha uspika kaongea kwa uhakika wote kuwa Mbowe alilewa, lakini kwa mtu anayemjua vizuri mlevi, kudondoka kwenye ngazi lazima angeumia kisogoni.
Hivi karibuni spika Ndugai aliingia kwenye majibizano na Mh. Mbowe, kwahiyo Ndugai kuongea haya anayoongea kunatia shaka Kubwa sana. Sidhani kama ana lengo zuri. Inawezekana ni kutimiza lengo lake kumchafua Mbowe ili asirudi bungeni kama alivyo Kwisha nukuliwa kuwa Mh. Mbowe hatarudi bungeni.
Tatizo maccm Ni matabularasa...
Kajifunze kiswahili kwanza.Kupitia ITV terevision taarifa ya habari saa2 usiku ya tar..9/6/20 daktari masunga alisema yafuatayo.
Walimpokea mh. Mbowe usiku akiwa na maumivu makali ya mguu.
Nabaada ya uchunguzi wamebaini mfupa mdogo wa mguu umevunjika, hivyo yupo kwenye maumivu makari kwahiyo wanapanga kumfanyia upasuaji wa mguu.
MAMBO YAKUJIULIZA
Nikweli mbowe kavunjika mguu?? Nadhani hilo halina ubishi nahayupo wakulipinga
Je? Daktari alisema mbowe alifikishwa saa ngapi hosp? Hapana! Kwanini? Hii inaonekana daktari na chadema waliamua kuuficha ukweli kwa maana myika alisema saa6 usiku.
Bulaya alisema sa6 lkn msigwa alisema sa6 hadi sa7 usiku.
Hizi taarifa na zote police wazichunguze sababu daktari hakuona wala kusema kama kwenye vipimo vyake aliona mguu ulipigwa nakitu kizito kuperekea kuvunja mfupa maana kuvunjika kwa kupigwa nitofauti na kuvunjika kwa kutereza.
Lakini bado kwa nini chadema hawakanushi km mbowe hakuwa baa mda huo? Hakulewa siku hiyo?
Je kwanini daktari hakuzungumza kama mbowe alikuwa na kirevi au la?
Hapa niwazi chadema hawana hoja za kisiasa zaidi ya kufanya harakati katika siasa.
Hii kitu ni shida imemtelezesha DJ ahmada [emoji23][emoji1787][emoji2960]Kupitia ITV terevision taarifa ya habari saa2 usiku ya tar..9/6/20 daktari masunga alisema yafuatayo.
Walimpokea mh. Mbowe usiku akiwa na maumivu makali ya mguu.
Nabaada ya uchunguzi wamebaini mfupa mdogo wa mguu umevunjika, hivyo yupo kwenye maumivu makari kwahiyo wanapanga kumfanyia upasuaji wa mguu.
MAMBO YAKUJIULIZA
Nikweli mbowe kavunjika mguu?? Nadhani hilo halina ubishi nahayupo wakulipinga
Je? Daktari alisema mbowe alifikishwa saa ngapi hosp? Hapana! Kwanini? Hii inaonekana daktari na chadema waliamua kuuficha ukweli kwa maana myika alisema saa6 usiku.
Bulaya alisema sa6 lkn msigwa alisema sa6 hadi sa7 usiku.
Hizi taarifa na zote police wazichunguze sababu daktari hakuona wala kusema kama kwenye vipimo vyake aliona mguu ulipigwa nakitu kizito kuperekea kuvunja mfupa maana kuvunjika kwa kupigwa nitofauti na kuvunjika kwa kutereza.
Lakini bado kwa nini chadema hawakanushi km mbowe hakuwa baa mda huo? Hakulewa siku hiyo?
Je kwanini daktari hakuzungumza kama mbowe alikuwa na kirevi au la?
Hapa niwazi chadema hawana hoja za kisiasa zaidi ya kufanya harakati katika siasa.
ili kuhalalisha dhamira ya uovu wao kila jambo litasemwa kumfanya muathirika kuwa mhaini. Kama risasi iliweza kupaa na kutua kwenye daladala kumuua Akwilina haishindikani pia mtu aliyevamiwa na kupigwa kuonekana alikuwa amelewa.Hivi ukienda bar ukanywa pombe ina maana lazima ulewe. Tuassume kweli alilewa, inazuia kuvamiwa na kupigwa? Tena watu wengi uwa wanavamiwa wakiwa wanarudi kutoka bar.
Hata kama kweli alikuwa bar na akanywa pombe hakufuti kuwa kwamba anaweza vamiwa na kupigwa. Kwanini hoja hapa washikilie bango la yeye kuwa bar? Kwani ni kosa kisheria Mbowe kuwa bar? Hoja hapa ni nani kampiga haya masuala ya alikuwa bar siyo hoja.ili kuhalalisha dhamira ya uovu wao kila jambo litasemwa kumfanya muathirika kuwa mhaini. Kama risasi iliweza kupaa na kutua kwenye daladala kumuua Akwilina haishindikani pia mtu aliyevamiwa na kupigwa kuonekana alikuwa amelewa.
Hivi ukienda bar ukanywa pombe ina maana lazima ulewe. Tuassume kweli alilewa, inazuia kuvamiwa na kupigwa? Tena watu wengi uwa wanavamiwa wakiwa wanarudi kutoka bar.
Nia ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Kumvunjia heshima yake kuwa ni mlevi na kuhalalisha tendo lao la kumvamia kuwa ni ulevi tu. Daima wakati ndio msema kweli na hukumu ya Mungu inaweza chelewa lakini daima haiepukiki.Hata kama kweli alikuwa bar na akanywa pombe hakufuti kuwa kwamba anaweza vamiwa na kupigwa. Kwanini hoja hapa washikilie bango la yeye kuwa bar? Kwani ni kosa kisheria Mbowe kuwa bar? Hoja hapa ni nani kampiga haya masuala ya alikuwa bar siyo hoja.
Inawezekana, sasa kwanini wanaosema hivyo siyo polisi na wala siyo waliokuwa eneo la tukio? Polisi hawajasema hivyo, waliokuwepo hawajasema hivyo, lakini watu baki ndiyo wanasema hilo ndilo la kustaajabisha zaidi.Na kwani ukishalewa hauwezi kuteleza na kuvunjika mguu kwenye ngazi?
Inawezekana, sasa kwanini wanaosema hivyo siyo polisi na wala siyo waliokuwa eneo la tukio? Polisi hawajasema hivyo, waliokuwepo hawajasema hivyo, lakini watu baki ndiyo wanasema hilo ndilo la kustaajabisha zaidi.
Yah ngoja tusubiri ila nao uwa wanachelewa sana kutoa taarifa na ndiyo maana inapelekea haya yote.Wote tukae kimya tusubiri Polisi watasema nn kwenye uchunguzi wao