Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

 
Jitahidi uongeze bidii ya kuteetea uhuni
 
Swali la ajabu sana! Mbowe inajulikana alikuwa amelewa kabisa, mwambieni aache pombe yeye ni mtu mzima na kwa hadhi aliyonayo hastahili kunywa vile mpaka kitojielewa
Wewe mpuuzi hadi chenji, unaongea kanakwamba ulikuwepo
 
Unajua kwanini nimekata baadhi ya maneno yako? Sababu niliamua kukujibu ila nilivyorudia kusoma huku mwisho nikagundua hata jinsia yako hauielewi hivyo ni ngumu kwako kuanza kuelekezwa na kuyaelewa mambo.
Shukuru Mungu umeweza kuelewa jinsi ya ku log in na kuanzisha uzi ambao hata hivyo hautadumu kutokana na kuponzwa na uelewa wako.[/QUOTE]Sheria inasemaje ukishambuliwa, kutibiwa na kushitaki?
 
Tunakubali. Kumpa mwenzio vitasa vya faru john namna ile in uuwaji kabisa..
 
Sheria inasemaje ukishambuliwa, kutibiwa na kushitaki?
[/QUOTE]
Unaona sasa, hata ku quote haujui
 
Mimi naendelea kuhesabu matukio mabaya dhidi ya Chadema kama ilivyokuwa kwa CUF miaka ile ya nyuma.
1.Ben Sanane. is unknown whereabout
2.Tundu lisu-Nearly dead -after Brutal gun short attack, 40 bullets on his body.
3.Halima Mdee and Others -Brocken hands by Magereza mchana kweupe
4.Akwilina -apigwa risasi na polisi akiwa ndani ya Daladla ,kisingizio kuzima maandamno ya Chadema.

Hali ianendelea kuwa ya kutisha Tanzania, Mbele twendako Kuna Visasi vina tungojea

Iko hesabu juu ya wanayoplan mambo haya maovu kwa watanzania wenzetu waliochagua kufanya siasa kwa mujibu wa sheria
 
Eti kavamiwa! Hata majirani wasisikie! Lichama linakufa hilo.
Chadema kwahelini
 
Katika maofisa wa polisi watakaofungwa jela Murroto yumo
Tatizo kubwa la watanzania ni kusema uongo.Mbowe ni cha pombe na mtu wa milupo hakuna cha kuvamiwa alikuwa tungi na Mnyika ukweli anaujua ila chadema mnataka kutumia ulevi wa mbowe kutafuta umaarufu wa kisiasa.Mbowe akaungane na piere liquid kukesha kwenye pombe siasa imemshinda.
 
BTW mwenye ripoti ya Polisi atuwekee tuione wote kama imetoka.
 
Mmeambiwa msiingize siasa lakini bado mnahangaika ndani ya bunge
 
Huyu mbowe kaanza kulewa lini?
Mbona watu waningilia upelelezi kinyume na sheria?
CCm mnajaribu kutengeneza mazingira ya nini wakti ukweli utajulikana,?
Mbona CCM wamejenga khofu kubwa juu ya tukio hili?
Mimi naamini CCM imeshakufa,kilichobaki ni kujishikiza na matukio ya wapinzani.
Eti leo wanafurahi Mkopo wa WB na Pesa Za Corona,
Hawa jama kweli wameishiwa,
Miaka 5 imekwisha Taifa liko taabani,
Hawana la kuwaambia wananchi isipokuwa kutengeneza sifa za Madaraja ya Ubungo na Mitambo ya Umeme STg.George

Watu hawana Ajira, Maisha Magumu,Uchumi umekufa,Hela imepotea,
Nyimbo ndio zile zile za kila mwaka ,viwanda vilivyotarajiwa kuongeza ajira havionekani, na vilivyopo vinapunguza wafanyakazi.

Tafuteni kiki nyingine
lakini Mwaka huu mnalo hilo,
CCM Inawekwa Ubaoni.
Hata hivyo vyombo vya dola mnavyovitegemea kuwasaidia vime wachoka.
Askari polisi,Usalama, Majeshi na wao ni Watanzania wenye jamaa zao mitaani wanawaona wanavyosota na maisha.

Hili halihitaji tochi.

CCM BYE BYE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu eti lihusishwe na korona
 
Huyo mashimo atakuwa alitumika na wasiojulikana kuandaa mazingira ya tukio.
 
Kufananisha shambulio la Lissu na Mbowe siyo sahihi kabisa. Wakati shambulio la Lissu lilikuwa wazi la Mbowe ni la kubuni/kutungwa na wapambe wake, hasa taarifa ya awali ya Bulaya na Msigwa. Nasema hivyo kwa kuwa ni kauli tu ya Mbowe kwa hao wawili ndio inatawala. Hata Hawala yake hajasema lolote ingawa ndiye alikuwa mtu wa kwanza kufikishiwa ujumbe, inavyosemekana.

Pamoja na maungufu hayo, Mbowe hakupoteza fahamu na hadi leo hajatoka hadharani kueleza mkasa wote kama anavyofanya Lissu. Ukimya wake ni dalili kuwa hakushambuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…