Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
 
Mashetani na maibilisi ya uovu sasa yanahangaika baada ya kutekeleza udhalimu wao!!

Kwenye nyumba za ibada na mitaani tunakoishi nayo yanaonekana ni binadamu kumbe ni mashetani!
 
Police wako wachache hayo ya kusema mtashughulikia watu na kuwajaza hofu hayana maana hamuoni mfano wa maandamano ya marekani ambapo kuna wakati ilibidi polisi hata kupiga magoti na kujoin na Protestors pamoja na Rais kutoa order ila still haikuweza kuwa implemented mana utaua wangapi sasa kama watu wakiamua? NGUVU YA UMMA sio mchezo mambo ya vitisho itafika threshold na people will get tired, mbu anaputua kwenye Kende zako huwezi kupiga kofi kubwa hapo ndio unaona sio kila tatizo linahitaji nguvu kusolve ila busara sioni sababu hata ya RPC kuwahusisha wafuasi wa chadema
 
Inaonekana hili tukio limekufurahisha sana kiasi cha kuongeza ugali kwenye familia yako.
 
Tundu lissu mwenyewe hakutaka uchunguzi ufanyike mana alikimbia yeye pamoja na shahidi namba moja ( dereva ) ulitaka Askari waanzie wapi uchunguzi kama mashahidi wote hawataki kutoa ushurikiano?

Wangekufa kusingekuwa na uchaguzi?
 
Wewe hangaika tu utakipata unacho kitafuta ,kuwa mkini tu kuna vitu vyenye ncha kali vime simama sawa sawa.
 
Punguza porojo
Usiipindishe taarifa
 
Jaribu kuandamana kwa kuamini polisi ni wachache utapunguziwa mkono ibaki na mmoja
 
Haiwezi kuingia akili kuwa hata kipindi Cha alipoumizwa tundu na sasa kaumizwa mbowe hakuna ulinzi
 
Mashetani na maibilisi ya uovu sasa yanahangaika baada ya kutekeleza udhalimu wao!!

Kwenye nyumba za ibada na mitaani tunakoishi nayo yanaonekana ni binadamu kumbe ni mashetani!
Shetani lingine bila aibu liliingia madhabauni na kumsingizia Mh. Makonda!
 
Eneo ni lilelile la Area D wakati ni uleule wa kikao cha Bunge! Je, dereva wa Mbowe hahitajiki kuhojiwa? Na Mbowe naye hahitajiki kupeleka malalamiko polisi?
 
Leo wakati Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika akiongea amesema kuwa serekal inatakiwa iwafanyie uchunguzi baadhi ya watu ambao tayari walikua wameshatoa kauli mbaya juu ya kiongozi wao Mbowe kwa kudai kua maneno waliyo ongea yanaendana na tukio.

Pia, Chadema wamesema Polisi TANZANIA wamkamate Mashimo ili wamuhoji sababu anaweza kusaidia katika uchunguz. Hili ni sawa ila hili apa linafikirisha.

Ameweza kumtaja Mchungaji Mashimo ili akamatwe ahojiwe Kama kutoa ushirikiano kwa Polis Ila kakataa kuwataja aliokuwa nao Mbowe ili Polisi isiwahoji, sasa niwaulize chadema mnataka polisi ifanikishe au ifeli?

Kwanini waliokuwa pamoja na Mbowe muwafiche Kuna Sir gani na je wakat mwenyekit Mbowe anashambuliwa wao walikua wanafanya Nini?

Kwani hamuoni kuna umuhimu wa kuwaleta au kuwataja wale waliokuwa na MBOWE ili wahojiwe, waweza kulisaidia jeshi la Polisi?

Kwanini Mashimo ametajwa na hakuwepo eneo la tukio ila waliokuwepo wamefichwa? Mkiulizwa sababu et mnafanya uchunguzi. Uchunguzi gan huo? Hamtak kuonyesha ushirikiano kwa Polis wakiacha kufatilia Mambo yenu mnasema wanatumika, why?

 
Mashetani na maibilisi ya uovu sasa yanahangaika baada ya kutekeleza udhalimu wao!!

Kwenye nyumba za ibada na mitaani tunakoishi nayo yanaonekana ni binadamu kumbe ni mashetani!
Hawata pata furaha kamwe
 
Pia, amewaonya Wafuasi wa CHADEMA wanaohamasishana kukutana kwani Jeshi la Polisi lipo macho na yeyote anayefanya mikusanyiko isiyo halali atashungulikiwa kweli kweli
Kwa Policcm kuzuia mikusanyiko ya CHADEMA ni muhimu zaidi kwao kuliko kupambana na majambazi/wauwaji.
Nadhani sasa inatosha.AMEN
 
Hakuna shaka yoyote katika hili kwamba waliohusika ni watu wasiojulikana. Hawa watu walimsubiri katika ngazi inayoelekea nyumbani kwake, nyumba ambazo zipo ndani ya Uzio na getini kuna walinzi, nyumba za viongozi wakubwa, hakuna kibaka wala jambazi mwenye ujasiri huo.
 
Pia, amewaonya Wafuasi wa CHADEMA wanaohamasishana kukutana kwani Jeshi la Polisi lipo macho na yeyote anayefanya mikusanyiko isiyo halali atashungulikiwa kweli kweli
Kwa Policcm kuzuia mikusanyiko ya CHADEMA ni muhimu zaidi kwao kuliko kupambana na majambazi/wauwaji.
Nadhani sasa inatosha.AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…