Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Chadema sisa imewashinda sasa wanatafuta visingizio,
Eti mwenyekiti ashushwe kisha dereva asijue kama bosi wake ameingia ndani salama?
Na kama derva aliondoka mapema kabla mbowe hajaingia ndani basi huyo deleva anajua kinachoendelea.
Unamfahamu UVCCM anaitwa Heri Denis James? Ushawahi kumsikia kauli zake? Kama hujawahi kumsikia, mcheki youtube. Ndo utaamini kwamba CCM inahitaji mabadiliko ya ndani kwanza kabla ya kuwanyooshea wapinzani kidole
 
""Wewe unaisumbua sana Serikali, tunakushughulikia tuone kampeni utafanyaje.""
nimenukuuu kutoka juu hapo
 
Utashangaa hata Mnyika mwenyewe anatembea kaning'iniza kengele tu hadi kesho pamoja na matukio yote haya.

Nilifikiri tayari wamelipa uzito suala la usalama wao like ulinzi binafsi 24hr na CCTV cameras zao binafsi kwenye makazi yao.

Au wanasubiri mpaka waanze kukatwa vichwa ama kuliwa boga ndo wajifunze?
 
Unamfahamu UVCCM anaitwa Heri Denis James? Ushawahi kumsikia kauli zake? Kama hujawahi kumsikia, mcheki youtube. Ndo utaamini kwamba CCM inahitaji mabadiliko ya ndani kwanza kabla ya kuwanyooshea wapinzani kidole

Eleza yanayohusu maswali yangu, hayo ya UVCCM, leta uzi wake
Tunataka majibu ya kipigo cha mbowe,

Taarifa ya katibu mkuu haielezei alikuwa anatoka wapi muda huo usiku wala alikuwa na nani, sasa kama chama hakitoi taarifa tosherezi ina maana hayo mashambulizi ya mbowe yalikuwa ya kihuni tu
Labda amebamizwa na mume wa mtu.
 
Wasiojulikana wenyewe ni hao unaowaona na comments za ajabu ajabu zisizokuwa na kichwa chembe miguu, wala chembe moja ya ubinadamu.

Tunawashukuruni kwa kujitambulisha.

Hata mkikaa kimya sasa mmeshafahamika.
 
Sijawahi kuitamani siasa nasikia kweli kuna hela hapana acha niendelee kuwashabikia porojo za nugaz na kanara naona kwangu ni burudani tosha.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kapigwa miguuni tu yaani hata usoni hawajamgusa kuogopa kumharibia sura.hawa ni vibaka tu.
 
Baada ya Lisu kuongea CCM WALICHUKIA SANA ,wakapanga kumshambulia Mbowe ili habari za Lisu zisipate headline ...
Magufuli na chama chake ni kama kina laana ya wazee.
 
SASA NDIO MNATENGEZA UPINZANI WA KWELI .
 
Ushangae wachunguzi ndio haohao washambuliaji. Hamna kitu hapo ni sinema nyingine akina Mroto wameanzisha.
 
Nakumbuka Kule South, mambo ya aina hii yalipozidi, na wao ANC waligeuz mwenendo
Sasa hapa TZ sijui kwa nini hiki chama cha watu wasiojulikana kinaharakisha mtindo huu mbaya.

THE TURN TO SABOTAGE BY
THE CONGRESSMOVEMENT IN
SOUTH AFRICA*

Before the 1960s, the African National Congress (ANC) and its
allies were officially committed to the use of exclusively nonviolent
means in the struggle against apartheid in South Africa.
But in December 1961 a new organization, Umkhonto we Sizwe
(‘Spear of the Nation’), announced its launch with a wave of
bombings of unoccupied government installations. In the
manifesto they released at the time of these first attacks, the
commanders of the new body declared that ‘The government
policy of force, repression and violence will no longer be met
with non-violent resistance only!’ Though Umkhonto (MK)
described itself as a ‘new, independent body’, it had been
founded by Nelson Mandela of the ANC and Joe Slovo of the
South African Communist Party (SACP), with the authorization
of both bodies. Ten months after the first bombings, the ANC’s
national conference formally recognizedMKas the ‘military wing
of our struggle’.1
Why did leaders of the ANC and its allies in the broader
Congress movement 2 abandon their exclusive reliance on
nonviolent means in the struggle against apartheid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…