Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

 
KWA TZ BADO MAPEMA SANA MKUU
 
What if Lissu angekufa, ina maana uchunguzi usingefanyika ?

Muwe na aibu mnapotetea ujinga wa serikali yenu
Procedures za tukio la mtu akiwa amekufa na akiwa hai ni vitu viwili tofauti na huwezi ku-apply kwa aliyekufa kwa mtu aliyehai na vice versa ... this is not rocket science knowledge
 
Mashimo akamatwe na wamzibue mashimo hayo waone kilichomo maana kelele si za bure
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
We jamaa sisi wa kilimanjaro unatuonea sana donge yaani ulitamani tuwe magoigoi kama wewe. Ila fahamu sisi sio magoigoi kama wewe mlamba viatu wa lumumba.
 
" Sasa jambo lenyewe (Mbowe kuvamiwa) lina hadithi nyingi ya jinsi lilivyotokea maanake inasemekana jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali, inaniwia ugumu kusema chochote kwa hatua hii lakini...eeh! niseme tu kwamba msichukulie kama watu wanavyoongea, watakaosema hali halisi ni vyombo vya usalama na niwaombe vyombo hivyo vitoe taarifa mapema iwezekanavyo, waeleze ilitokea nini isiwe ni kazi yangu...wanavyozidi kuchelewa hadithi zinakuwa nyingi "-Spika Job Ndugai.

Siku zote Mwizi huwa na Kiherehere kingi tu cha Kujitetea na Unafiki uliokomaa kwa waliomshtukia au wale ambao wanataka Kumuadhibu akome.
 
"Maanake inasemekana Jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali"
Hii sentensi ilikuwa na haja gani yeye kuiongea Kama hana uhakika?
 
What goes around comes around, kuna siku inakuja watawala watatawaliwa kwa fikra zao, hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho, kama si wao basi kizazi Chao hakiwezi kukwepa malipo ya udhalimu huu.
 
wewe unayejificha kwenye keyboard kwa kusema kitu ambcho huna ushahidi nacho, siyo Muoga! hebu fanya ujasiri uende hadharani utaje huyo unayemtuhumu kwa jina lake halisi kuwa ndo kahusika ili tukuone we ni jasiri zaidi yake!
Hakuna taarifa nimeisoma nikiumia Kama hii ya Mbowe leo, kuna jitu lioga Kama jiwe ?
 
Naliangalia jambo hili kwa mtizamo tofauti.Nahisi na narudia kuwa nahisi ya kuwa huu unaweza ukawa mchezo wa kuumbuana.Nahisi ya kuwa udhaifu wa kibinadamu umetumika ili kumuumbua au kumdhalilisha Mbowe.Aidha Mbowe asizungumze lolote kwani akizungumza maelezo yatakayofuata yatamvua nguo.Nahisi tu na naendelea kuhisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…