Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

"Maanake inasemekana Jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali"
Hii sentensi ilikuwa na haja gani yeye kuiongea Kama hana uhakika?

Siku zote Mwizi huwa na Kiherehere kingi tu cha Kujitetea na Unafiki uliokomaa kwa waliomshtukia au wale ambao wanataka Kumuadhibu akome.
 
Kwani Ndugai alikuwa kaombwa kutoa maelezo kwenye swala hili?
Mbona anazidi kujishusha daraja?
 
Chadema lazima wahakikishe Mbowe anatibiwa kwa gharama yoyote, hata kama ni kukausha account za Chama. Haiwezekani Bungeni zitolewe taarifa za eti "alianguka akitoka kulewa" mara "aliendaje kituo cha afya badala ya Hospitali" aaah, wanaongea sana hawa watu!!
 
Na ndicho ninachosema.Kuna dalili ya kuumbuana ingawa wanasahau ya kuwa hakuna uhalai wa kumpiga hata mgoni wako sembuse mlevi!
 
wewe unayejificha kwenye keyboard kwa kusema kitu ambcho huna ushahidi nacho, siyo Muoga! hebu fanya ujasiri uende hadharani utaje huyo unayemtuhumu kwa jina lake halisi kuwa ndo kahusika ili tukuone we ni jasiri zaidi yake!
Kumbe hata wwe ushamjua mhusika sisi tupo gizani bado
 
Scenarios za mashambulio yote mawili ( Tuñdu Lissu na hili la Mbowe Jana) yanafanana....

Obvious, wapangaji na watekelezaji ni walewale. Eneo la shambulizi ni lilelile. Walengwa ni wa chama kilekile walichoahidi kuwa ifikapo 2020 lazima kiwe kimefutwa...

Tofauti yake ni silaha tu zilizotumika. Tundu Lissu ni SMG na AK47. Huyu (Mbowe) naona walitumia nondo na mipini kuvunjia nyonga na miguu....

Ishu ya mtu kurudi kwake saa 6 usiku haiwezi kuwa ajenda ukizingatia yeye ni kiongozi mkubwa mwenye mambo mengi ya kushughulikia. Narudia tena "muda mtu kurudi nyumbani kwake" is not an issue to dabate.....

Ambacho ni hakika bila kuacha chembe yoyote ya mashaka ni kuwa , matukio haya inaratibiwa na kutekelezwa na viongozi wakubwa ndani ya serikali na CCM kwa baraka za jumba jeupe...

Kwa hiyo kama ilivyokuwa kwa Tundu Lissu, tusitegemee taarifa yoyote sensible and meaningful toka polisi hata kama watatumia karne nzima kuchunguza...

Na hii haina maana kuwa polisi nao watakuwa wanahusika direct kama Jeshi la polisi kuulinda (cover up) uhalifu huu....

Ni kwa sababu wanaowalipa mshahara ndiyo wahusika na ndiyo wao wataandaa taarifa ya uchunguzi (na basically imeshaandaliwa) na polisi wao wataisoma tu public, na hapo ndipo kila mtu atakapo shangaa huu mchezo unavyochezwa....

Hawa polisi wetu uwezo wa kufanya kazi yao "professionally" wanao tena ndani ya muda mfupi sana. Tatizo wameingiliwa na siasa za wanasiasa wenye mamlaka ambao wanaamua hata hatima yao hawa polisi kwamba awe na kazi ama afukuzwe kazi....

Hawa ni watu wa kupokea na kutii amri tu ama "order", hawana namna, nao wana familia eti. Wafanyeje. tusiwalaumu....

Na ndiyo maana ya Lissu jana ktk hotuba yake kutangaza nia ya kugombea Urais, kasema, tukimpa ridhaa ya kuiongoza Tanzania, moja ya shida atakayoishughulikia haraka ni kufanya mageuzi makubwa (big reforms) kwenye miundo ya majesho yetu yote ili kuyafanya yatekeleze wajibu wake kikamilifu na independently bila kuyahusisha na siasa kwa misingi ya haki, sheria na katiba...

Mfano, tunategemea nini kama Rais Magufuli huyu aneteua mkuu wa Majeshi ama IGP ama RPC ama OCD kada mtiifu wa chama kilicho madarakani?

Hakuna " positive" cha kutegemea bali ni taabu tu na majanga kama haya...!!!
 
Kwani Ndugai alikuwa kaombwa kutoa maelezo kwenye swala hili?
Mbona anazidi kujishusha daraja?

Siku zote Mwizi huwa na Kiherehere kingi tu cha Kujitetea na Unafiki uliokomaa kwa waliomshtukia au wale ambao wanataka Kumuadhibu akome.
 
Ukishazoea kuloga au kuiba hata siku usipologa au iba na tukio likatendeka ni lzm hisia za Wana mtaa zielekezwe kwako.
 
Huu mpango utakuwa umesukwa ndani ya Chadema,kutafta sympathy kwenye uchaguzi,ila wajinga utasikia wanaropoka tu.
 
Ati yamepangwa na ikulu,aise,umeandika utumbo sana,anyway, TL ni dikteta ambaye akiishika nchi,tutaisha,na jamaa ukimwangalia,ni kama kichaa hivi.
 
Ati yamepangwa na ikulu,aise,umeandika utumbo sana,anyway, TL ni dikteta ambaye akiishika nchi,tutaisha,na jamaa ukimwangalia,ni kama kichaa hivi.

Kejeli na kushambulia personality ya mtu ni udhaifu wa kujenga hoja ama unakuwa hujui cha kusema kwa sababu huna hoja....

Wewe nipinge kwa hoja kuwa Ikulu haina mkono wake hapo kwa sababu 1, 2 na kuendelea....

Tatizo lenu mnadhani kuwa, you can fool all people, all the time kama vile hawana vichwa vyenye nywele...

Siyo kweli na hilo halipo kabisa....!!
 
Procedures za tukio la mtu akiwa amekufa na akiwa hai ni vitu viwili tofauti na huwezi ku-apply kwa aliyekufa kwa mtu aliyehai na vice versa ... this is not rocket science knowledge
Kwa hiyo kwa kuwa Lissu yupo Ubelgiji haiwezekani kufanyika uchunguzi ?

Acha kutetea ujinga mzee
 
wewe unayejificha kwenye keyboard kwa kusema kitu ambcho huna ushahidi nacho, siyo Muoga! hebu fanya ujasiri uende hadharani utaje huyo unayemtuhumu kwa jina lake halisi kuwa ndo kahusika ili tukuone we ni jasiri zaidi yake!
Ukitaka kujua ni kiasi gani alivyo jasiri, basi wape uwanja sawa hao wawili wapambane bila ya hayo mabunduki na matakataka mengine yaliyonyuma ya huyo unayemwona wewe kuwa ni jasiri.

Umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…