Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

Hivi yule aliyemnyooshea bastola jamaa yao alishakamatwa?
 

..Mbona hii haki haikudaiwa kibiti?...
 
Kuna tofauti ya kuchunguza na kubaini nani mtuhumiwa na tofaiti ya kumtafuta alienainika kuwa ndo mtuhumiwa..uchunguzi ulibaini Osama ndo mlipuzi na ikachukua mda mrefuta kumtafuta Osama.uchunguzi haukumaliza muda mrefu kubaini aliehusika Ni nani ila ilichukua muda kumpata Osama.
. Cc mwigulu chemba
 
Hivi Kibiti kuna watuhumiwa wanashiliwa na polisi wakisubiri upelellezi kukamilika ili kesi zianze? Nipe updates mkuu
Jana tu Naibu waziri Masauni alikuwa Rufiji akikagua eneo itakapojengwa ofisi ya kanda maalumu ys kipolisi. Watuhumiwa wote wameshatiwa mbaroni mkuu!
 
Kama serekali imehusika itawakamata kina nan? Mpaka leo hata mtu mmoja hajajulikana na hakuna mtu anaesumbukia hilo swala. Ngoja niganye uchunguzi mwenyewe
 
Hakuna asojulikana,wanajulikana tu sema hawajaamua kuwatafuta.
Walivyo wa term kuwa "wasiojulikana" ndo wanaongeza [emoji91] kwenye mafuta
Mkuu " wanajulikana " kesi zao ziko mahakamani!
 
Reactions: SDG
Mkuu lakini jeshi lako limetuhumiwa kuhusika na shambulio hilo?? Na mienendo yake ndio msingi wa tuhuma hizi, bado huoni kuwa Jeshi lako haliaminiki na watz???
Na watu mitaani wameenda mbali zaidi wakisema nyie na mkuu mnajua kilichotokea?? Nawaza tu kwa sauti kubwa msije kunitafuta na mimi kupitia watu wasiojulikana.
 
Moja kati ya 'WANASIASA HALISI' (Uwezo wa kusema uongo na kuutetea) ni Mwigulu.
 
Reactions: SDG
Kama alishindwa kumkamata yule Wa tukio la Nappe, anawezaje kuwakamata hawa! atutolee upumbavu wake
 
Amesema watoto wao ndio watakaohukumu! Lini?
O Bin Laden alijulikana, Mwigulu anawajua wasiojulikana?
Kama hawajui atawapataje?
Kama anawajua kwanini hawakamati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…