Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

Eti huyo waziri mzigo nae alitaka kuwa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania....haa haa...nafwaaaaaaz
 
Mwigulu kuna mengine huna haja ya kuongea wewe kausha tu
 
Yaani Mwigulu analinganisha kesi ya TL na Osama!!?

Hivi Osama angekuwa Marekani angechukua hata siku mbili!!?
 
Unafikiri ange ongea je pale Singida watu wamuelewe?? Ila hayaja toka rohoni hayo maneno. Ilikuwa ni kuvuta umati umsikilize.
 
Nakumbuka kipindi JK huyu jamaa alituhumiwa kuplot ubashite kwa CDM mara kadhaa. Mara akaanzisha kambi ya green guard simewhere hukoooo
 
Mpaka leo Waziri wa mambo ya ndani kwa muda huo hajawahi kuleta ripoti
 
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina weledi na kazi hiyo.
 
Mtuhumiwa wa kwanza wa wasiojulikana ni Mwigulu Nchemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…