Kushamiri kwa matumizi ya viungo bandia /sex toys

Kushamiri kwa matumizi ya viungo bandia /sex toys

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Huwa najiuliza inakuwaje binadamu unafanya ngono na midoli?

Unakuta mwanamke ana wapenzi wa kutosha ila kwenye pochi ana livibrato. Mwanzoni nilidhani haya madude wanayatumia masingle girl kama mimi kumbe ni big no wanatumia watu wenye access ya dudu daily.

Wanaume nao sijui Samantha wao anaendeleaje? Kwanini binadamu wamefika huko, mbona papuchi nyingi tu duniani?

Cc. GuDume rais wa michepuko ulimwenguni. full dozi
 
Unajua soko kubwa la izo mambo ni bara la Africa .... Hii inaonyesha waafrika tunawaza nn.

Huwa nataman watu wafikirie in a long term nn kitafuata , najikuta waafrika asilimia kubwa hatuishi kwa Kutizama mbele nahivo tunapelekwa tu matokeo yake wWanawake hawaoni hawaoni tena uhitaji wa Kua na mwenzi ,,vivo ivo kwa mwanamme, nakwasababh nikitu unachokitumia muda unaotaka tumeishia kua mazuzu ya sex kitu ambacho ni hatari....

Haijalishi wee ni singo au sio singo ,matumizi ya hizi mambo ni Ulimbukeni .
 
Watu wanavyoenda kuridhishwa huwenda wanatumia hiyo Midoli ili waridhike au waridhishwe.
 
Unajua soko kubwa la izo mambo ni bara la Africa .... Hii inaonyesha waafrika tunawaza nn.

Huwa nataman watu wafikirie in a long term nn kitafuata , najikuta waafrika asilimia kubwa hatuishi kwa Kutizama mbele nahivo tunapelekwa tu matokeo yake wWanawake hawaoni hawaoni tena uhitaji wa Kua na mwenzi ,,vivo ivo kwa mwanamme, nakwasababh nikitu unachokitumia muda unaotaka tumeishia kua mazuzu ya sex kitu ambacho ni hatari....

Haijalishi wee ni singo au sio singo ,matumizi ya hizi mambo ni Ulimbukeni .
Ni ushamba na ujinga uliopitiliza
 
Hakuna cha bamia wala kibanio shida Kubwa kwa wadada cku hizi hawana mapenzi ya kweli ,utamkuta na lisanamu halisemi halina romances ,huyu mtu anaakili kweli? Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
 
Huwezi kukimbizana na globalization, wenzako wanamwaga mabilion ya dollor kuishawishi dunia dildo ni bora na safe kumaliza hamu ya tendo la ndoa, wew unakuja na maneno matupu...
 
Back
Top Bottom