Kushamiri kwa matumizi ya viungo bandia /sex toys

Kushamiri kwa matumizi ya viungo bandia /sex toys

Mtu akiwa anatumia Huyo Samantha hawezi pata
STIs
HIV
hamna charges
Samantha hachepuki
Samntha hadangi
******Ladies badilikeni*****
Samantha noma sana aisee...huyo lazima nikmachkue ....mwaka huuu ..Nipo na make make hapa...mpaka kieleweke
 
Huwa najiuliza inakuaje binadamu unafanya ngono na midoli?
Unakuta mwanamke ana wapenzi wa kutosha ila kwenye pochi ana livibrator wanaita.mwanzoni nilidhani haya madude wanayatumia masingle girl kama Mimi.kumbe ni big no wanatumia watu wenye access ya kibamia daily.
Wanaume nao sijui Samantha wao anaendeleaje? Kwanini binadamu wamefika huko.mbona papuchi nyingi tu duniani.

Cc gudume ,raisi wa michepuko ulimwenguni.full dozi
Kama ujalimwa kibuti hukoo..! Si kwa ujio huu wa ghafla..[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hakuna cha bamia wala kibanio shida Kubwa kwa wadada cku hizi hawana mapenzi ya kweli ,utamkuta na lisanamu halisemi halina romances ,huyu mtu anaakili kweli? Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
Wanaume ndo wana akili eti? Hili swala halina jinsia
 
Huwezi kukimbizana na globalization, wenzako wanamwaga mabilion ya dollor kuishawishi dunia dildo ni bora na safe kumaliza hamu ya tendo la ndoa, wew unakuja na maneno matupu...
Kweli Mkuu una akili .hizi ni biashara za wakubwa wa dunia lazima zifanikiwe.
 
Kila kitu kina sababu zake kuwepo dunia, wacha watu na sababu zao..

Vipi lakini samantha anaoga kwel? Hahahaa
 
Vyuma lazima vilegeee ukimleta maana hamna tena kupigwa vizinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu"" ukiaanza kupiga hesabu pesa ambazo umezimwaga kwa kuhonga mpka hivi sasa "" waweza jikuta unapata budget ya kuanzisha mini mall ya kuwauza kina Samantha "" na kuweza kuondokana na umasikini"
 
Mmh. Ukiwaza hivyo rafiki zile raha haswa utazisikia tu kwa kweli.

Sababu kitu kisicho na ushirikiano cha kazi gani rafiki.

Ushirikiano alafu nipate Syphilis, Gonorrhea, chlamydia, bacterial Vaginosis na Trichomoniasis bora nipate kitu chenye hakinipi ushirikiano
 
mkuu"" ukiaanza kupiga hesabu pesa ambazo umezimwaga kwa kuhonga mpka hivi sasa "" waweza jikuta unapata budget ya kuanzisha mini mall ya kuwauza kina Samantha "" na kuweza kuondokana na umasikini"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushirikiano alafu nipate Syphilis, Gonorrhea, chlamydia, bacterial Vaginosis na Trichomoniasis bora nipate kitu chenye hakinipi ushirikiano
Mmh. Haya bana rafiki.

Ila nikwambie ni namna ya uchaguzi wako utakavyokuwa ndio utakaofanya upate au usipate wenye hiyo kitu.
 
Ladies sio rahisi kussuport maana wanajua Samntha ndo challenge yao
-Yeye hadangi
-Hapigi vizinga
-Hahitaji Peruvian & Brazilian Hair
-Hana haja na iphone X
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom