Kushangilia kifo cha Ayubu hakumuudhi wala kumkera Belshaza, maana Ayubu hakuwa mtu wake

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,446
Reaction score
3,319
Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala).
Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja.
Kwahiyo kushangilia kifo Cha Ayubu (Job) hakumkeri wala kumuudhi Belshaza kwani Ayubu hakuwa mtu wake. Siyo ajabu hata huyo Belshaza naye amepokea kifo cha Ayubu kwa furaha Kama wananchi tu.
 
Kungekuwa na kifo cha majaribio, Belshaza angejaribu kufa aone watu watapokeaje kifo chake. Huenda akatamani afe tu jumla!
 
Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala).
Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja.
Kwahiyo kushangilia kifo Cha Ayubu (Job) hakumkeri wala kumuudhi Belshaza kwani Ayubu hakuwa mtu wake. Siyo ajabu hata huyo Belshaza naye amepokea kifo cha Ayubu kwa furaha Kama wananchi tu.
Hiki kinachoendelea tayari ni utamaduni mpya! Hata huyo Belshazzar watu watamwaga tafrija akikauka!
 
Back
Top Bottom