MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kawakatia fedhaHajawakatia au kuwakatisha viuno?
Haniiiiiii.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda miaka 23 tangu atolewe bikra
noma sana, kitu mnato, bk ya daraja la kwanza kabisaMtoto alianz kuliw na mond akiw 19
Hahahahaaa.Mbona kule google wanatuambia vingine sa?
View attachment 2822190
Huenda alishasahau kama ana miaka 30. 😂Hahahahaaa.
Nimeshangaa sana kusikia eti ana hiyo 23 anayoisherehekea.
Huyu kabla ya kutusua si alikuwa kashakuwa mzee kabisa, hata kama hela ni sabuni ya roho, ila haiwezi kurudisha nyuma umri.
Sawa atanawiri ila umri hauweiz kurudi nyuma.
Kabisa tumeshazowea kudanganya umri na tunasahau kabisa kama sura huwa zinaongea mdogo wangu.Kudanganya umri kwa Waafrika imekuwa desturi yetu.