Kusherekea kutimiza miaka 23, Zuchu atoa kompyuta 5 shule yake ya zamani

Kusherekea kutimiza miaka 23, Zuchu atoa kompyuta 5 shule yake ya zamani

Labda miaka 23 tangu atolewe bikra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maninaaa,,Kwa hyo mkuu katolewa bikra akiwa na miaka 7 maaana zuchu kiuwalali ana miaka 30 ...aache dhambi ya uongo yakusema ana miaka 23 .
 
View attachment 2822187
Wasanii wana kitu cha kujifunza kutoka kwa Zuchu. Bata kidogo na misaada kidogo.
Wakati akisherekea kutimiza miaka 23 ya kuzaliwa,Zuchu amemtuma chawa baba Levo maeneo ya zanzibar kupeleka kompyuta 5 kwenye shule yake ya zamani zikawasaidie katika uchapaji wa mitihani.
Happy birthday Zuchu.
23 huyu atakuwa na 30 na 3 hivi.
 
Miaka 23 wanadanganya bhana 😁😁😁 maybe kwenye 26+ ila sisi wasanii 🙌
 
2013 niliwahi deti na Zuchu, enzi hizo wanakaita Zuu Baby, alikuwa anauza juice duka la jumla pale Palestina. Kalikuwa na 20 yrs, mnavyoniambia miaka yote hiyo 10 baada ya kupita, still ana 20 yrs sijui 23 yrs mnanichanganya
 
Back
Top Bottom