Kusherekea kutimiza miaka 23, Zuchu atoa kompyuta 5 shule yake ya zamani

Hahaha yani zuchu awe na miaka 23 hahaha hata usoni tuu kudanganya awezi hahaha zuchu ni zaidi ya 30
 
Labda miaka 23 tangu atolewe bikra
Hahahahahahaha we mshenzi kweli kweli. Kwamba nini? Dah!

Ngoja nikuombee collabo kwa GENTAMYCINE aise. Mkimshambulia mtu atajinyonga sio siri.

Hii comment yako akisoma kama yuko humu,duhhh! Atakulaani ya kwako itakaa milele
 
Kila la kheri zake kwenye siku yake ya kuzaliwa...
 
Hebu hawa nao waache kutudanganya...
tuanzia hapa kwanza zuchu ana....
Advanced Diploma in Business and Commerce ambayo kasoma India na inasemekana alimaliza kabla ya 2016 sasa mkuu tupige hesabu huenda alisoma Mpaka Olevel kabla ya kwenda kuchapa Diploma labda miaka 3 na advance diplome tusema ni mwaka 1 labda jumla ya elimu ya Chuo ni 4 years..

kumbuk tuchukulie kamaliza 2016...
jumlisha miaka ya Form 1 mpaka form four hapo..
4+4=8
jumlisha na Miaka 7 ya Shule ya msingi 8+7 15..
tuseme bhasi alianza shule akiwa na Miaka 6..
6+15 ni miaka 21...
Kwa hesabu hiyo mwaka 2016 alikuwa anakadiriwa kwa haraka haraka miaka 21 mpaka 22
tangu 2016 mpaka leo ni miaka 7 ...
ukijumlisha utapata 28 mpaka 29 ..
kwa haraka sana akinidanganya Bhasi ana miaka 29..
japo Kipindi ndo anaanza mziki alizema
kazaliwa 22/11/1993...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kabisa.

Japo huwa nawazaga kwa nini umri wa miaka 23 -26 huwa unapendwa sana?

Yaani mpaka ukute mdada anavuka hapo basi ni kipengele. πŸ˜‚
Huwa wanabaki hapo kwa mda mrefu sana nadhani ndio umri KE anakuwa anavutia hata asipojiremba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…