Kushikiliwa kwa Fwema: Umoja wa wachora katuni waonya

USHAWAHI SIKIA CHOCHOTE KUHUSU BLACK SITES MZEE BABA ZA WAMAREKANI...ukijifanya mjuaji hamna taasisi ambayo haitakunyosha...Fanya kazi acha siasa majitaka RIPMAGUFURI
 
Hawawezi kufanya kitu ambacho boss wao hakipendi,ukiona yanaendelea Yale Yale ya awamu ya 5 jua boss wao wa Sasa hivi amebariki.
Watanzania tuliamini kuwa sasa tumepata muarobaini wakutuponyesha vidonda kumbe ni yaleyale tu
 
TATIZO NI YY MWENYEW ANAYAJUA HAYO KMA YANAMCHAFULIA?
 

Tuungane sote kuupinga udhwalimu wote. Hii nusu nusu inawaacha wengi wengine kwenye ma basement ya majumba ya wadhwalimu humu humu mijini:



Wako wapi Lijenje Urio Ben Azory na wote wasielezewa waliko hali walichukuliwa na polisi?
 
Mama kumbe ni dhaifu kiasi hicho?
Nimeshangaa sana, nilitalajia kamati kuu iwe ya kuwashughulikia wote wanaosabotage serikali yake lakini matokeo yake press release ndio hiyo unabaki unashangaa.
 
Nimeshangaa sana, nilitalajia kamati kuu iwe ya kuwashughulikia wote wanaosabotage serikali yake lakini matokeo yake press release ndio hiyo unabaki unashangaa.
Sasa kama yeye ndio rais na hawezi kugundua hayo kumbe tumepigwa
 
CCM ilipofikia sasa haitishwi na chochote !! cha msingi wachora katuni wote choreni kuipamba ama sivyo yatakutamo tu.
 
Hii ni kutokea Kenya na Uganda, watanzania wako nyuma ya darasa wanachungulia wasikie "pu" wanaumwaga mdogomdogo.
 
Hii hoja sikubaliani nayo na ni potofu, haiwezekani rais ktk nchi ambayo katiba imemuweka awe anaabudiwa eti awe tena anaburuzwa na watu wengine, hichi ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa.

Maovu yooote yanayoendelea kufanywa ktk utawala huu yana baraka ya rais na anaamini kwamba ndio njia inayoweza kumfanya aendelee kuwa na uhakika wa kudumu mamlakani.

Akiamua maovu haya yasitokee ni siku hiyo hiyo yatatoweka. Ila tatizo rais amekubuhu kwa unafiki, anahubiri maji huku yeye akinywa whisky...!!!
 
Sasa hapa Magufuli hayupo hatutasikia sana malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…