Kushikiliwa kwa Fwema: Umoja wa wachora katuni waonya

Kushikiliwa kwa Fwema: Umoja wa wachora katuni waonya

Huyo kosa lake liko wazi kabisa maana aliandika hadi jina la mama kama watu watakuwa hawaja edit
Sheria inasema hupaswi kumshikilia mtu zaidi ya 48 hours bila kumfungulia mashtaka!Kwanini jeshi LA polisi limekuwa likifanya litakavyo?Kwanini wanavunja sheria?
 
Mlishabgilia kifo cha Dkt Magufuli. Mlisema ohh Mama anaupiga mwingi hahahhahahah

Urais ni taasisi na siyo mtu. Nadhani sasa akili zinawakaa sawa.

Huwezi kuwa unadhalilisha taasisi ya urais kiasi hicho. Na badooo!
Ni upumbav unaopatikana Africa,ngozi nyeusi imelaaniwa!
Fikiri hapo ni Rais Wa nchi masikini,angekuwa Raid Wa nchi yenye nguvu kama USA si ingekuwa balaa?Shwain
 
Masoud Kipanya na Gado kaeni mguu sawa kwani "watu WASIOJULIKANA" wanatafuta njia ya kuwadhibu
 
View attachment 1962295

My Take 1.
Je, tuseme hii ni serikali ya mkono wa chuma na tuanze maombi ya kupata serikali ya awamu ya 7?

My Take 2.
Akitiwa nguvuni mtu mmoja kiajabu-ajabu basi tuungane wote kukemea. Sio kusubiri mpaka yawakute. Watu wa media mmekuwa wanafiki sana.
Wanamuonya nani? Waliwahi chora katuni hata moja kumkosoa Magu?

Hilo ni onyo bado Masoud
 
Sasa kama yeye ndio rais na hawezi kugundua hayo kumbe tumepigwa
Simkubali na wala simpendi kabisa Polepole lakini ni wazi inaonekana kuna kitu anakijuwa na kauli ya Lisu inaweza kuwa na ukweli mwingi kuliko siasa.

Hata interview yake na BBC kuwa Mbowe wenzake wamehukumiwa bado yeye inaleta majibu ya kile ambacho anakiongea Polepole kwamba kuna watu wapo gizani ndio wanaongoza serikali.

Polepole ni mnafki wa kiwango cha standard gage lakini amechaguwa style yake ya kufikisha ujumbe kwenye jamii.

Kuna wakati hata mtu mjinga akiongea kitu msikilize huenda akawa anaongea kitu cha msingi sana licha ya ujinga wake.
 
Sijasoma hata kusoma kwa hiyo wanasemaje hawatachora katuni Tena au? Kwani Tanzania kuendelea inahitaji katuni? Maruhuni hao?
 
Ni dhaifu..

Na hakuna hujuma yeyote ila ni udhaifu wake tu.
 
Siyo kwamba hajui madhara yake, Amefanya makusudi ili apate uhalali wa kuendelea kula ugali wa wazungu bure kwa kisingizio cha asylum seeker! Sisi twawa'chora'!
Huyo kosa lake liko wazi kabisa maana aliandika hadi jina la mama kama watu watakuwa hawaja edit
 
Sijasoma hata kusoma kwa hiyo wanasemaje hawatachora katuni Tena au? Kwani Tanzania kuendelea inahitaji katuni? Maruhuni hao?
Katuni ni sehemu ya Habari
-fb29da.jpg
 
Huwezi kulazimisha kupendwa. Huwezi kulazimisha wala kuzuia watu wote waweza kama wewe! Aloshindwa JPM utaweza wewe mjomba???
Kiongozi wao ni yupi naye akamatwee

USSR
 
Yani kuna watu wanajifanyaga miongoni wa wale wazee 24 kwenye Ufunuo,,yani wenyewe wakiombea mtu afe anakufa hapo hapo....😆😆
🐖💩
 
Ni wale waliojipanga kumchafulia Rais Samia Suluhu, tuseme wanasaboteji utawala wake, na huzusha hili na lile ili lawama zote zielekezwe kwenye utawala wake.

Ni bora Rais Samia naye akawabana wale wanaozusha mambo ya ajabu ajabu ambayo hupelekea kuishusha nyota ya serikali yake maana kwenye kundi la mamba na mikenge imo.
Unaishi miaka ya 1960.Poor bastard
 
View attachment 1962295

My Take 1.
Je, tuseme hii ni serikali ya mkono wa chuma na tuanze maombi ya kupata serikali ya awamu ya 7?

My Take 2.
Akitiwa nguvuni mtu mmoja kiajabu-ajabu basi tuungane wote kukemea. Sio kusubiri mpaka yawakute. Watu wa media mmekuwa wanafiki sana.
The cartoonist aliyechora ile cartoon Aligui one basic literature/fasihi test

Hakutakiwa kundika jina lolote… ile ingeacha jamii ifanye interpretation yake

Ya kuweka majina kabisa is not right

And the message was disrespectful

Hata Akina Salman Rushdie walipigiwa fatwa kutokana na baadhi ya kazi zao
 
pamoja na yote, mambo mengine ni ya kupuuza tu. utakamata wa ngapi wakiandika vibaya? Inaweza kuwa koaa, Lakini kwa nini hajapelekwa mahakamani mpaka leo
 
pamoja na yote, mambo mengine ni ya kupuuza tu. utakamata wa ngapi wakiandika vibaya? Inaweza kuwa koaa, Lakini kwa nini hajapelekwa mahakamani mpaka leo
Dogo alichokosea ni kuweka majina tu

Katuni ni fasihi

Ajiongeze
 
Back
Top Bottom