Sheria inasema hupaswi kumshikilia mtu zaidi ya 48 hours bila kumfungulia mashtaka!Kwanini jeshi LA polisi limekuwa likifanya litakavyo?Kwanini wanavunja sheria?Huyo kosa lake liko wazi kabisa maana aliandika hadi jina la mama kama watu watakuwa hawaja edit
Ni upumbav unaopatikana Africa,ngozi nyeusi imelaaniwa!Mlishabgilia kifo cha Dkt Magufuli. Mlisema ohh Mama anaupiga mwingi hahahhahahah
Urais ni taasisi na siyo mtu. Nadhani sasa akili zinawakaa sawa.
Huwezi kuwa unadhalilisha taasisi ya urais kiasi hicho. Na badooo!
Hivi ndio mama Choef Hangaya anavyotaka......daaa kweli madaraka matamu
Gado utampatia wapiMasoud Kipanya na Gado kaeni mguu sawa kwani "watu WASIOJULIKANA" wanatafuta njia ya kuwadhibu
Wanamuonya nani? Waliwahi chora katuni hata moja kumkosoa Magu?View attachment 1962295
My Take 1.
Je, tuseme hii ni serikali ya mkono wa chuma na tuanze maombi ya kupata serikali ya awamu ya 7?
My Take 2.
Akitiwa nguvuni mtu mmoja kiajabu-ajabu basi tuungane wote kukemea. Sio kusubiri mpaka yawakute. Watu wa media mmekuwa wanafiki sana.
Simkubali na wala simpendi kabisa Polepole lakini ni wazi inaonekana kuna kitu anakijuwa na kauli ya Lisu inaweza kuwa na ukweli mwingi kuliko siasa.Sasa kama yeye ndio rais na hawezi kugundua hayo kumbe tumepigwa
Ni dhaifu..Simkubali na wala simpendi kabisa Polepole lakini ni wazi inaonekana kuna kitu anakijuwa na kauli ya Lisu inaweza kuwa na ukweli mwingi kuliko siasa.
Hata interview yake na BBC kuwa Mbowe wenzake wamehukumiwa bado yeye inaleta majibu ya kile ambacho anakiongea Polepole kwamba kuna watu wapo gizani ndio wanaongoza serikali.
Polepole ni mnafki wa kiwango cha standard gage lakini amechaguwa style yake ya kufikisha ujumbe kwenye jamii.
Kuna wakati hata mtu mjinga akiongea kitu msikilize huenda akawa anaongea kitu cha msingi sana licha ya ujinga wake.
Huyo kosa lake liko wazi kabisa maana aliandika hadi jina la mama kama watu watakuwa hawaja edit
Katuni ni sehemu ya HabariSijasoma hata kusoma kwa hiyo wanasemaje hawatachora katuni Tena au? Kwani Tanzania kuendelea inahitaji katuni? Maruhuni hao?
Kiongozi wao ni yupi naye akamatwee
USSR
Kwai sawa ndio jina la rais?Huyo kosa lake liko wazi kabisa maana aliandika hadi jina la mama kama watu watakuwa hawaja edit
Unaishi miaka ya 1960.Poor bastardNi wale waliojipanga kumchafulia Rais Samia Suluhu, tuseme wanasaboteji utawala wake, na huzusha hili na lile ili lawama zote zielekezwe kwenye utawala wake.
Ni bora Rais Samia naye akawabana wale wanaozusha mambo ya ajabu ajabu ambayo hupelekea kuishusha nyota ya serikali yake maana kwenye kundi la mamba na mikenge imo.
The cartoonist aliyechora ile cartoon Aligui one basic literature/fasihi testView attachment 1962295
My Take 1.
Je, tuseme hii ni serikali ya mkono wa chuma na tuanze maombi ya kupata serikali ya awamu ya 7?
My Take 2.
Akitiwa nguvuni mtu mmoja kiajabu-ajabu basi tuungane wote kukemea. Sio kusubiri mpaka yawakute. Watu wa media mmekuwa wanafiki sana.
pamoja na yote, mambo mengine ni ya kupuuza tu. utakamata wa ngapi wakiandika vibaya? Inaweza kuwa koaa, Lakini kwa nini hajapelekwa mahakamani mpaka leoThe cartoonist aliyechora ile cartoon Aligui one basic literature/fasihi test
Hakutakiwa kundika jina lolote… ile ingeacha jamii ifanye interpretation yake
Ya kuweka majina kabisa is not right
And the message was disrespectful
Hata Akina Salman Rushdie walipigiwa fatwa kutokana na baadhi ya kazi zao
Dogo alichokosea ni kuweka majina tupamoja na yote, mambo mengine ni ya kupuuza tu. utakamata wa ngapi wakiandika vibaya? Inaweza kuwa koaa, Lakini kwa nini hajapelekwa mahakamani mpaka leo