Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

Piga simu 0712505049 ni formula kiboko unafanyia tiba ukiwa kwako bila mtu kujua unakua sawa kabisa matokeo ni kuanzia siku moja ukitibu umetibu
 

Attachments

  • Screenshot_20260925_193406_Instagram.jpg
    186.4 KB · Views: 16
Punguza stress na fanya mapenzi na umpendae.

Na chemsha mizizi ya mgomba kuniamo na tangawiz pia kitunguu saumu na kitunguu maji.

Kunywa ahsubuh na jioni mda wa kulala, ndani ya mwezi mzima dozi.
Ukiwa unakunywa kweny kikombe unaongezamo kijiko cha asari.

Na mazoez zingatia kukimbia kutembea umbali mrefu.
Push up Na kegel
 
Bust napiga show atar ususan viagra
acha kabxa kutumia booster mkuu huwa sio nzuri.

Baadala ya booster ukitaka kukutana na mwenza wako nusu saa kabla.
kula ndizi mbili, tikitik maji kula hadi lile ganda jeupe, limenye taratibu na kisu na maji mengi mara kwa mara penda kunywa kulingana na kilo zako za mwili.

Au tafuna mziz wa mgomba pamoja na kalanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…