Hii Gonja ipo enneo gani?Tofauti tu kidogo ni kwamba wilaya ya Mwanga humo ndani ndio kuna Usangi na Ugweno
Na Same ndani yake ndio kuna Hedaru, Gonja, Gonja Maore, Mwembe, Makanya, Kihurio, Bendera wilaya Same ni kubwa sana ndio maana kukawa na majimbo mawili ya uchaguzi Same mashariki na Same magharibi kwa Mwanga ni tofauti jimbo ni moja tu.
Aisee kumbe! Nilikuwa sijui kama Same ni kubwa hivyo! Mbona nasikia wagweno hawataki kuitwa wao ni wapate?Jana kwenye msiba wa mhe marehemu Makamu wa pili wa rais, Waziri mkuu mstaafu Cleopa David Msuya nilisikia mshereheshaji wa serikali akichanganya mafaili nikagundua ni bahati mbaya hajui na wengi hawajui nikaona nitoe ufafanuzi wengi waelewe.
Neno Upare ni pana zaidi ya watu wanavyofikiri. Linajumuisha wilaya mbili Same na Mwanga watu hawa wote wanaitwa Wapare na wanaongea lugha moja inaitwa Kipare japo kuna tofauti ndogo za lafudhi lakini wanaelewana.
Kuna sehemu inaitwa Usangi anakotoka huyu marehemu. Usangi ni sehemu ambayo iko ndani ya Upare wilaya ya Mwanga na watu wa Usangi wanaongea Kipare. Kuna sehemu nyingine inaitwa Ugweno hawa wote nao ni Wapare ila kuna lugha wanayotumia inaitwa Kigweno.
Niligundua mshereheshaji alikuwa anaeleza kitu fulani nikagundua anashindwa kujua Usangi pia ni Upare sawa na ile ya kule Same.
Same nayo ni wilaya kubwa sana inakwenda hadi imepakana na Mombo, Same ndio kuna Hedaru, Makanya, Kihurio, Gonja, Kisiwani, Bendera ambapo ndio karibu sana na Mombo.
Hii ni sawa na Mbeya watu wamezoea kusema wanyakyusa lakini humo humo kuna sehemu mbali mbali kama Rungwe, Ileje na wanatumia lugha moja japo pia kuna makabila madogo ndani yake n.k.
Mtu akisema anakwenda Gonja Same Upareni kwa Wapare na Mtu wa Usangi akisema anakwenda Mwanga Upare kwa Wapare au mtu akisema nakwenda Ugweno Mwanga kwa Wapare mtu huyo atakuwa sawa kwa sehemu zote hizo.
Tofauti tu kidogo ni kwamba wilaya ya Mwanga humo ndani ndio kuna Usangi na Ugweno
Na Same ndani yake ndio kuna Hedaru, Gonja, Gonja Maore, Mwembe, Makanya, Kihurio, Bendera wilaya Same ni kubwa sana ndio maana kukawa na majimbo mawili ya uchaguzi Same mashariki na Same magharibi kwa Mwanga ni tofauti jimbo ni moja tu.
Zamani miaka ya 80 kurudi nyuma Mwanga na Same zote zilikuwa ni moja ziliitwa Wilaya ya Same ndio zikagawanywa na hata hivyo bado Same ni kubwa.
Pengine naweza Sema Wilaya ya Same ni kubwa kuliko mkoa wa Dar-Es-Salaam
Kwanini mkuu?Watu wa duniani watashangaa sana kuhusu wapare ila sisi wachaga tunashanga mno watu wa ulimwengu kuwashangaa wapare na mambo yao🤔 Robert Heriel Mtibeli Mshana Jr Mbaga Jr .
Ni Upare sehemu inaitwa Uthangi alikozikwa mhe Msuya juziAlmanusura nioe Mpare! Kule kwa Waislamu wengi ni Upare gani hiyo? Swalhina wangu akashinikizwa na dadake kunitosa kwa tofauti ya dini!
Samahani ndugu mtibeli wewe ni mpare....??Wapare watu smart ambao Tanzania haijawatambua.
Tunasema hawavumi lakini wamo
Wapare hawana pesa kabisa , kama nimezidiwa kiwango cha pesa na mpare humu nife leo😆😆😆
Naam MkuuSamahani ndugu mtibeli wewe ni mpare....??
Mkuu ngoja nikupe data za uhakika sasaAisee kumbe! Nilikuwa sijui kama Same ni kubwa hivyo! Mbona nasikia wagweno hawataki kuitwa wao ni wapate?
Gonja iko wilaya ya Same ila usije dhani ukipita barabarani utaikuta la hasha ukifika Same ndio sasa unaitafuta Gonja huko Milimani.Ni sawa sawa na Usangi alikozikwa Msuya juzi ni kule juu milimaniHii Gonja ipo enneo gani?
Zamani miaka ya 80s tulikuwa tukisafiri usiku walikuwa wanatangaza Gonja Gonja lakini baada ya safari za mchana kuanza sijawahi kupaona
Kumbe!!Gonja iko wilaya ya Same ila usije dhani ukipita barabarani utaikuta la hasha ukifika Same ndio sasa unaitafuta Gonja huko Milimani.Ni sawa sawa na Usangi alikozikwa Msuya juzi ni kule juu milimani
Ndio ila kama basi linatokea Moshi kwenda Gonja likifika Same linachepuka hali kadhalika basi linalokwenda Usangi Pare likifika Mwanga pale mjini linachepuka kupanda juu milimani.Ile milima kuipanda ni kilomita 15 mizunguko ya S zikimaliza hizo kilomita sasa kule juu ni tambarare japo kuna vilima vingine kule vidogo vidogoKumbe!!
Kwahiyo wanaokwenda huko wanashuka Same mjini?
Ngoja siku moja nijitose nikatembee sikujua hiyo Jiografia, asante MkuuNdio ila kama basi linatokea Moshi kwenda Gonja likifika Same linachepuka hali kadhalika basi linalokwenda Usangi Pare likifika Mwanga pale mjini linachepuka kupanda juu milimani.Ile milima kuipanda ni kilomita 15 mizunguko ya S zikimaliza hizo kilomita sasa kule juu ni tambarare japo kuna vilima vingine kule vidogo vidogo
Kwa nyongeza angalia hiyo mandhari ya upareni milimani . Na SASA hivi Kwa wapare wanaoishi tanbarare za Mwanga, Kisangara, Lembeni, Mgagao, Njoro, Ishinde, Same, Makanya,na Hedaru Mama mwezi Marchi alizindua mradi mkubwa WA MAJI safi na salama kutoka Nyumba ya Mungu hivyo PAMOJA na HALI hiyo mnayoiona ya ukame MAJI YANAMWAGIKA KILA MAHALI!!! View attachment 3334949Ngoja siku moja nijitose nikatembee sikujua hiyo Jiografia, asante Mkuu