Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

Magaribi inawatumia ukrain na israel kuwakitisa wapinzani wao bira ata ya wao kuhusika moja kwa moja
Afu anakuja mjinga mmoja anakwambia mataifa ya magaribi yana hali mbaya kiuchumi

BRICS itakufa mdogo mdogo tukiiona maana adi saiv mataifa mawili yenye nguvu kwenye muungano yako ktk mapigano iran na russia

Twende mbere turudi nyuma mataifa ya magaribi yako mbele sana kimipango na kifikra na ilo ata china analijua na ndo maana ata mpango wake wa kuivamia Taiwani ni km kausimamisha maana anajua kbsa taiwani inatumiwa na mataifa ya magaribi kuja kuiangusha China
Iran haiko kwenye BRICS, hiyo ni I ya India sio Iran
 
Yote unayosema angefanya Bado angepigwa kirahisi.

Hapo Trump alikuwa anamtega ili akubali kuacha mambo ya urutubishaji wa uranium KWA ajili ya silaha ya Nuklia ili akikubali tu wakagundua hana mpango wowote wa Nuklia na Sio tishio wanamla kichwa kilaini kama Gadafi na Sadam.

Hakuwa naoption isipokuwa HIKI kinachoendelea Sasa ambacho hata hivyo hajakianzisha yeye. Kwa hiyo take asitake ilikuwa ni lazima regime change ili Israel awe na amani na US wale mema ya middle east kiwepesi.
 
Mafunzo gani tunapata kupitia huu mgogoro
 
Back
Top Bottom