Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

Iran haiko kwenye BRICS, hiyo ni I ya India sio Iran
 
Yote unayosema angefanya Bado angepigwa kirahisi.

Hapo Trump alikuwa anamtega ili akubali kuacha mambo ya urutubishaji wa uranium KWA ajili ya silaha ya Nuklia ili akikubali tu wakagundua hana mpango wowote wa Nuklia na Sio tishio wanamla kichwa kilaini kama Gadafi na Sadam.

Hakuwa naoption isipokuwa HIKI kinachoendelea Sasa ambacho hata hivyo hajakianzisha yeye. Kwa hiyo take asitake ilikuwa ni lazima regime change ili Israel awe na amani na US wale mema ya middle east kiwepesi.
 

Mafunzo gani tunapata kupitia huu mgogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…