Naunga mkono hoja.Wadau, amani iwe kwenu.
Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa...
Achaneni na wapinzani, leteni maendeleo ya vitu na watu. Pandisheni mishahara na madaraja ya watumishi wa umma, hela ziingie kwenye mzunguko. Acheni biashara ifanywe na private sector ili kuleta mzunguko wa hela mtaani, hakuna haja kila mradi wa serikali ujengwe na JKT au TBA. Mambo ya kuwakamata wapinzani hayasaidii maendeleo
Ukila nyama ya binadamu huwezi acha, sasa watu wa kuwala (upinzani ) hawapo, lazima Jiwe ataanza kuwala wenzie, take this comment to the BankTaarabu zilikua nyingi upinzani wana chelewesha maendeleo ..bahati nzuri mme jiweka kwenye target bila nyie wenyewe kujua[emoji28][emoji28]taarabu ita hamia wapi sijui Shetani kachelewesha maendeleo au
Ukila nyama ya binadamu huwezi acha, sasa watu wa kuwala (upinzani) hawapo, lazima Jiwe ataanza kuwala wenzie, take this comment to the BankTaarabu zilikua nyingi upinzani wana chelewesha maendeleo ..bahati nzuri mme jiweka kwenye target bila nyie wenyewe kujua[emoji28][emoji28]taarabu ita hamia wapi sijui Shetani kachelewesha maendeleo au
Huo msemo wa 'amua sasa' nakumbuka tulikuwa tunautumia enzi zetu darasa la tano ili kuanzisha ngumiWashakamatwa sasa, amua, ...
Jiwe kaiba kura mpaka kavuka namba ya wapiga kura halali, bila hivyo nakuhakikishia hata 5% ya kura halali hapatiKwenye kampeni.
Nikishindwa uchaguzi, nitawaingiza wananchi barabarani.
Baada ya uchaguzi hata mwenyewe ameogopa kuingia barabarani. Kwa ujumla siasa za lissu kwenye kampeni zilikua ni sanaa za kuwaletea raia matatizo. Kuvuka ziwa kwa mtumbwi, mara kuwatukana polisi, amzodoe Magufuli ni.
Mkuu hao ni keyboard warriors tu hawana loloteNyinyi mngetakiwa Kuandamana... ili Viongozi wenu Waachiwe... Tuwaone kweli Mpo Serious..
Nyinyi mngetakiwa Kuandamana... ili Viongozi wenu Waachiwe... Tuwaone kweli Mpo Serious..
Baada ya kiongoz wako kuwa amekamatwa ulipaswa wewe mwenye uchungu nae uingie barabarani kwa kasi kudai haki yake na yako,,,,,instead mnalia lia hapa kwa keyboard....polen sanCCM ndio inakufa hivyo!!Kwa sasa imebaki chama dola.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?
Waoga kuliko kunguru!
Wadau, amani iwe kwenu.
Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa...
Sasa hivi sibishani tena Mada kama hizi na hawa wehu.. nishajua ni wamekuja online Kupoteza Muda tuMkuu hao ni keyboard warriors tu hawana lolote
Unaambiwa Katika Maisha Omba sana Usiwe wa Mfano.... haha.Waandamane wawe mfano kwa wavunja amani wote
Huo msemo wa 'amua sasa' nakumbuka tulikuwa tunautumia enzi zetu darasa la tano ili kuanzisha ngumi
Be gentleman atleast basi, Mandela alivyofungwa S.A harakati za uhuru ziliisha s.a au ziliendelea, Mbowe na wahuni wenzake kushikiliwa ilikuwa sawasawa hoja ni maandamano hayakupata hisia na hayakutokana na wananchi wenyewe thats why yalifeli simple, wajifunze/mjifunze katika hili acheni kujidanganyaCCM ndio inakufa hivyo!!Kwa sasa imebaki chama dola.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?
Waoga kuliko kunguru!
Mhuni dawa yake ni uhuni zaidiMbona mmewakamata viongozi wa upinzani kabla hata hakujakucha?Hofu yenu ni nini?