Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

Inamaana kweli hujui kuwa jeshi la Police ndilo lililotishia wananchi wasije kwenye maandamano? Mfano mimi sijaja kwenye maandamano, je inamaana siuungi mkono maandamano? Hii ngoma bado mbichi sana, wazee watafanya usafi mpaka watachoka
 
Achaneni na wapinzani, leteni maendeleo ya vitu na watu. Pandisheni mishahara na madaraja ya watumishi wa umma, hela ziingie kwenye mzunguko. Acheni biashara ifanywe na private sector ili kuleta mzunguko wa hela mtaani, hakuna haja kila mradi wa serikali ujengwe na JKT au TBA. Mambo ya kuwakamata wapinzani hayasaidii maendeleo

Washakamatwa sasa, amua, ...
 
Taarabu zilikua nyingi upinzani wana chelewesha maendeleo ..bahati nzuri mme jiweka kwenye target bila nyie wenyewe kujua[emoji28][emoji28]taarabu ita hamia wapi sijui Shetani kachelewesha maendeleo au
Ukila nyama ya binadamu huwezi acha, sasa watu wa kuwala (upinzani ) hawapo, lazima Jiwe ataanza kuwala wenzie, take this comment to the Bank
 
Taarabu zilikua nyingi upinzani wana chelewesha maendeleo ..bahati nzuri mme jiweka kwenye target bila nyie wenyewe kujua[emoji28][emoji28]taarabu ita hamia wapi sijui Shetani kachelewesha maendeleo au
Ukila nyama ya binadamu huwezi acha, sasa watu wa kuwala (upinzani) hawapo, lazima Jiwe ataanza kuwala wenzie, take this comment to the Bank
 
Aliwazalo Mjinga Ndiyo Litakalomtokea
Ushindi Wa Ujanjaujanja Hutakiwi
Daftari Lifunuliwa Sasa Hivi, Waje Watu Wa Hapa Hapa Tanzania Wasiegamia Upande Wowote Mtaumbuka.

Haiwezekani Watu Walisindikizwa Na Police, Wakiwa Na Bags Za Kura Fake. Ule Ushindi Wa Ujanjaujanja Ccm & NEC
 
Kwenye kampeni.
Nikishindwa uchaguzi, nitawaingiza wananchi barabarani.
Baada ya uchaguzi hata mwenyewe ameogopa kuingia barabarani. Kwa ujumla siasa za lissu kwenye kampeni zilikua ni sanaa za kuwaletea raia matatizo. Kuvuka ziwa kwa mtumbwi, mara kuwatukana polisi, amzodoe Magufuli ni.
Jiwe kaiba kura mpaka kavuka namba ya wapiga kura halali, bila hivyo nakuhakikishia hata 5% ya kura halali hapati
 
CCM ndio inakufa hivyo!!Kwa sasa imebaki chama dola.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe.

Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?

Waoga kuliko kunguru!
Baada ya kiongoz wako kuwa amekamatwa ulipaswa wewe mwenye uchungu nae uingie barabarani kwa kasi kudai haki yake na yako,,,,,instead mnalia lia hapa kwa keyboard....polen san
 
Yani unaandaa chakula mezani halafu unasema kwa kua mimi nimekiandaa hampaswi kula ! Umekula umemaliza unawauliza watu je mwataka kula? Ujinga wa kiwango kikubwa sana!
 
CCM ndio inakufa hivyo!!Kwa sasa imebaki chama dola.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe.

Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?

Waoga kuliko kunguru!
Be gentleman atleast basi, Mandela alivyofungwa S.A harakati za uhuru ziliisha s.a au ziliendelea, Mbowe na wahuni wenzake kushikiliwa ilikuwa sawasawa hoja ni maandamano hayakupata hisia na hayakutokana na wananchi wenyewe thats why yalifeli simple, wajifunze/mjifunze katika hili acheni kujidanganya
 
Back
Top Bottom