Kenya 2022 Kushindwa Kwa Raila Odinga ni pigo kubwa kwa Kenyatta, labda Mahakama itamnusuru na aibu

Kenya 2022 Kushindwa Kwa Raila Odinga ni pigo kubwa kwa Kenyatta, labda Mahakama itamnusuru na aibu

Kenya 2022 General Election

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto ataapishwa na kuwa Rais wa Kenya ,basi ujue ati uhuru atajipata mpweke sana.

Na sio tu kuwa mpweke Bali ataondoka ameinama! Odinga ndiye alikuwa hasimu wake mkubwa sana ,lakini ghafla ameunda nae Urafiki baada ya mikiki mikiki mingi .odinga anafahamika kwamba hawezi kukubali kushindwa na ndipo waona miaka kadhaa iliyopita ndiye alikuwa kinara wa maandamano nasema hatima na manusura ya Kenyatta na odinga ni mahakama na hata kama uchaguzi utaingia duru ya pili bado ruto atashinda Kwa sababu tayari jamii imebadili mtazamo.

Naamini kwamba Kenyatta atataka kuiacha nchi kwa mtu yeyote na sio ruto. Hivyo yawezekana kabisa kwamba kesi hii Kenyatta inamhusu zaidi
 
Kenyatta itakuwa yupo kama mimi huwa siwez kuubadili ukwel kumunufaisha yoyote hata kama ni ndugu yangu
 
Huyo Ruto na Kenyatta ni kitu kimoja..walimfool mzee tu nae kajichanganya hadi kapoteza umaarufu wake
 
Ruto muhuni sana wakenya wanamuita Hustler.. kizazi cha makabila makubwa Kenya kilichobebwa na majina ya baba zao kimezidiwa ujanja na mtoto wa mkulima kutoka karanjin huko.
 
Mahakama imnusuru kwa evidence zipi? Kama walishindwa kuwananusuru kwenye BBI hili halitawezekana.
Wataalam wanasema hii ndio petition nyepesi na ya hovyo Sana kwa bwana odinga tangu ameaza ku'file hizi petitions
 
Inawezekana mlevi hakufanya juhudi zozote kulinda kura isiibwe na ruto
Kwahiyo unanitia shaka kama ilikuwa mchezo wa kisiasa
Asiende kunywa akae kumlindia mtu kura ha ha ha, nayeye kila siku anaibiwa yeye tu inamaana hajatafuta ufumbuzi wa kuibiwa kila siku? Warudi tu nyumbani na mwenzie watakuwa wanatembeleana wakati wanacheza na wajukuu zao kampani hiyo.
 
Nawaza kwa sauti huenda Ruto na Kenyatta lao moja, mzee wangu Odinga kalamnishwa gharasa la jokeri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ruto muhuni sana wakenya wanamuita Hustler.. kizazi cha makabila makubwa Kenya kilichobebwa na majina ya baba zao kimezidiwa ujanja na mtoto wa mkulima kutoka karanjin huko.
Hamna kitu kama hicho this is Africa bro,politics is a game-ni suala LA muda huko mbelenini tutakuja kujua tu ukweli but mie naamini Kenyatta& Ruto wamemchezea michezo Odinga au ni game wamecheza wote 3.
 
Nimeiangalia hii video mara 3 nakosa cha Ku comment
Binafsi naakosa Cha kukuambia mkuu,lakini kwamba hii ni game Kati ya WSR na Uhuru haiwezekani hata kwa asilimia 0.000001.
Angalia hii video nyingine hapa kwa utulivu kabisa. Hii ni 2020

Nawaza kwa sauti huenda Ruto na Kenyatta lao moja, mzee wangu Odinga kalamnishwa gharasa la jokeri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Noo! The duo they never been reading on the same script after handshake.
 
Noo! The duo they never been reading on the same script after handshake.
Narrative eti Raila has been played is nonsense. Play wangemaliza normal 90 min. Extra time supreme court of Kenya is evidence enough Uhuru support for Raila ni honest kabisa.
 
There you are! Hapo hamna Cha RAO kuchezwa Wala nini,ni WRS kacheza tu kete zake vizuri.
Kawazidi tu unjanja the so called deep state and all dynasties
Narrative eti Raila has been played is nonsense. Play wangemaliza normal 90 min. Extra time supreme court of Kenya is evidence enough Uhuru support for Raila ni honest kabisa.
.
 
Achana na Uhuru juu Huyo ni kuondoka anaondoka,,,, sasa kati ya baba na deputy president nani alikuwa kwa government
???
 
Back
Top Bottom