Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Historia za siasa za Kenya itachukua muda mrefu sana kupata raisi kutoka kabila la Kijaruo. Kenyata kiuhalisia na kiintelejensia hakua upande wa Raila kwa Dhati. Kumsaport Raila ilikua ni njia Bora na Salama kuhakikisha Raila haingii madalakani kwa namna yoyote tena bila kuleta Vita na Maafa.Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto ataapishwa na kuwa Rais wa Kenya ,basi ujue ati uhuru atajipata mpweke sana.
Na sio tu kuwa mpweke Bali ataondoka ameinama! Odinga ndiye alikuwa hasimu wake mkubwa sana ,lakini ghafla ameunda nae Urafiki baada ya mikiki mikiki mingi .odinga anafahamika kwamba hawezi kukubali kushindwa na ndipo waona miaka kadhaa iliyopita ndiye alikuwa kinara wa maandamano nasema hatima na manusura ya Kenyatta na odinga ni mahakama na hata kama uchaguzi utaingia duru ya pili bado ruto atashinda Kwa sababu tayari jamii imebadili mtazamo.
Naamini kwamba Kenyatta atataka kuiacha nchi kwa mtu yeyote na sio ruto. Hivyo yawezekana kabisa kwamba kesi hii Kenyatta inamhusu zaidi
Mzee kwa mambo yalivyo mpaka sasa Kemyata asingependa kumuona Ruto akiwa Rais!Hamna kitu kama hicho this is Africa bro,politics is a game-ni suala LA muda huko mbelenini tutakuja kujua tu ukweli but mie naamini Kenyatta& Ruto wamemchezea michezo Odinga au ni game wamecheza wote 3.
Ni kama unaakili za kushikiwa vijiweni ndo utaamini hivyo. Hii kesi ya kupinga ushindi wa Ruto inaflemiwa vema na Kenyata. Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye ni Respondent wa kesi ya Odinga anakubaliana na Odinga. Hauoni jinsi Kenyata anavyopambana kufa na Kupona Ruto hasiapishwe?Nani kakudanganya Ruto na Kenyatta Wana uadui, waliamua kumchezea mchezo Odinga Ili wananchi wasidai anataka kuweka mtu wake ambae ni Ruto