Unajua hata kusali tunaweza kusalia nyumbani, ila msikitini na kanisani kuna raha yake
Tukienda ZERO pub tunahudumiwa na Eliza, kwanza bia inakuwa tamu zaidi, halafu tunakuwa tumetoa ajira kwa Eliza na mangi wa jikoni
hii ni kisera zaidi
aisee hapo juu where is DENA AMSI?
mi na yeye hatujamalizana
aisee hapo juu where is DENA AMSI?
mi na yeye hatujamalizana
Chai naipenda, lakini bia ni dawa ya moyo.
NIMEIPENDA SANA HIYO....!hahahahahahahaha
mapenzi ni maridhiano
Asprin nisaidie kudadavua hapa..........napata maana nyingi sana.Alafu wewe muheshimiwa Teamo umeshaanza kutekeleza hichi kipengele kipya cha katiba ama unataka ujaze sahihi za kukuunga mkono kwanza?
Alafu wewe muheshimiwa Teamo umeshaanza kutekeleza hichi kipengele kipya cha katiba ama unataka ujaze sahihi za kukuunga mkono kwanza?
hahaha wewe nakumbuka nilishawai kurudi na home boy wangu, wife wake akatufungulia...dah chakula mezani yaani hakuna cha vijiko viwili alitusimamia mpaka tukamaliza achana na vijiko vilwili bana..lol
Unajua baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka, tarehe kama hizi ni vema tu ukajiwhia nyumbani kula na familia, kwakweli hua ni tarehe ngumu sana...na hapo ndipo ninapouchukia mshahara
I wish kungekuwa na 'BABY COME BACK' ya mshahara
Bia tamu kushinda mshahara jamani
Orait..........naona wewe ni genius........unarudi home ukiwa na bia kichwani na kongoro tumboni.
Ukiingia tu, unawahi castle ya kopo kwa fridge....then unakaa mezani, unapiga story tu, huli wala nn.
Castle na kibua wapi na wapi?
Alafu wewe muheshimiwa Teamo umeshaanza kutekeleza hichi kipengele kipya cha katiba ama unataka ujaze sahihi za kukuunga mkono kwanza?
Asprin nisaidie kudadavua hapa..........napata maana nyingi sana.
Ili tukuamini, yatupasa tukutane leo tujadili! Sababu nyingine ya kutokula wali na watoto leo usiku.
Unajua baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka, tarehe kama hizi ni vema tu ukajiwhia nyumbani kula na familia, kwakweli hua ni tarehe ngumu sana...na hapo ndipo ninapouchukia mshahara
I wish kungekuwa na 'BABY COME BACK' ya mshahara
Bia tamu kushinda mshahara jamani
AHAHAHAHAHAHAH!Kuna binadamu yeyote mwenye jinsia ya kiume ambaye ameipinga hiyo kauli so far?
Kama hakuna aliyeipinga hii inamaanisha:
Vibua tunavipenda lakini bia ni dawa ya moyo........ Teamo usinitafute leo...we ni MSALITI wa BIA.
hii tayari ipo kwenye utekelezaji mkuu....!
trust me,huu mwaka lazima kuwe na some surprises
AHAHAHAHAHAHAH!
angalia inbox ya simu yako sasa hivi
PARE PAREEEEEE