Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Skulimeti

Leyla bado hajaingia, sasa zile bia tano nimwagize nani? Emmy?

Nipo hapa King Star tayari, TANESCO wamechukua umeme, kwahiyo nina "excuse" ya mpaka saa tano usiku!
 
Skulimeti

Leyla bado hajaingia, sasa zile bia tano nimwagize nani? Emmy?

Nipo hapa King Star tayari, TANESCO wamechukua umeme, kwahiyo nina "excuse" ya mpaka saa tano usiku!

Leo huna mamlaka ya kunifanya patrol officer wa King Star......
 
Skulimeti

Leyla bado hajaingia, sasa zile bia tano nimwagize nani? Emmy?

Nipo hapa King Star tayari, TANESCO wamechukua umeme, kwahiyo nina "excuse" ya mpaka saa tano usiku!
hahahaha!
mkuu huyo leila mbona tulikubaliana na skulmet ako kuwa ni WANGU?au nimesharukwa jamani?
 
Mipango yote ni mm, na ww ni mipango yooote kwangu.

usisikile kiumbe mwingine.

Unaona Teamo alivyosema hapo chini...utaweza kweli kuhudhuria na kushiriki mlo wa nyumbani kila siku?
 
Leo huna mamlaka ya kunifanya patrol officer wa King Star......

Ok..Ok.. Kwa heshima na taadhima naaagiza on your bill! Nitasimama Kaunta kuzuia usumbufu kwa akina Jose! Si unajua lazima "kushiriki chakula na familia"?
 
hii thread sijui imeanza saa ngapi matokeo yake nakutana na page ya 16 hii power ration hii yakera sana. Ila babu sio siri toka mwaka uanze sijacheka hivi lol yaani mkoloni angekuwa jirani yangu angenipeleka zahanati kwa kuhisi labda naumwa nimechekaje? ubarikiwe kwa kuniongezea siku za kuishi mwe!
 
Hiyo ndiyo inaitwa "Kushiriki chakula na Familia"!
hahahahahaha!
mkuu fanyeni mzaha na mwanadada yoyote pale lakini huyo mniachie,ili niwahi saa mbili kasoro nyumbani ''kushiriki chakula na familia''
 
Leo Babu umeamua kunichekesha kupita kiasi nimecheka mpaka nimezimia kwa hii post

yaani we acha tu babu leo naona kaamua kufurahisha wajukuu zake mi mbavu karibu zitapinda hapa lol
 
hii mada ni kama kutafuta jasho kwenye kwapa wengine tulishasikia hela za kina chautundu zinapatikan baada ya muda wa kazi
 
Haya bwana ila baba kavuta, mama kavuta, mume kanikimbia kapata nyumba ndogo na watoto wapo boarding :smile-big::smile-big::smile-big: Alone is better lol
 
That is truly a msg Teamo; especially to the married class of men and women. Thanks 4the revelation.
 
nadhani ''ujumbe'' umefika KAMA ULIVYOKUSUDIWA

HABARR NDIO HIYO!

WE NEED TO CHANGE OUR ATTITUDES

AHSANTENI SANA!

NIKIRIPOTI KUTOKA NYUMBANI NIKIWA NIMEJIPUMZISHA NA FAMILIA,MIMI NI TEAMO WA MMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…