Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Skulimeti

Leyla bado hajaingia, sasa zile bia tano nimwagize nani? Emmy?

Nipo hapa King Star tayari, TANESCO wamechukua umeme, kwahiyo nina "excuse" ya mpaka saa tano usiku!
 
Skulimeti

Leyla bado hajaingia, sasa zile bia tano nimwagize nani? Emmy?

Nipo hapa King Star tayari, TANESCO wamechukua umeme, kwahiyo nina "excuse" ya mpaka saa tano usiku!

Leo huna mamlaka ya kunifanya patrol officer wa King Star......
 
Skulimeti

Leyla bado hajaingia, sasa zile bia tano nimwagize nani? Emmy?

Nipo hapa King Star tayari, TANESCO wamechukua umeme, kwahiyo nina "excuse" ya mpaka saa tano usiku!
hahahaha!
mkuu huyo leila mbona tulikubaliana na skulmet ako kuwa ni WANGU?au nimesharukwa jamani?
 
Mipango yote ni mm, na ww ni mipango yooote kwangu.

usisikile kiumbe mwingine.

Unaona Teamo alivyosema hapo chini...utaweza kweli kuhudhuria na kushiriki mlo wa nyumbani kila siku?
 
Leo huna mamlaka ya kunifanya patrol officer wa King Star......

Ok..Ok.. Kwa heshima na taadhima naaagiza on your bill! Nitasimama Kaunta kuzuia usumbufu kwa akina Jose! Si unajua lazima "kushiriki chakula na familia"?
 
Nshapiga valuu zangu, nakutana na wali kwa samaki aliyeungwa kwa nazi.

Kutapika mbele ya watoto ni heshima mbaya kwa mzazi.

Ushauri wako mzuri, binafsi ntauzingatia kwa msaada wako kama ifuatavyo:
Usiwe unanipigia simu na kuniuliza "Leo hutoki"?
Mwambie Baba Enock asiwe ananipa salamu za Emmy
Mwambie Generation Y asiwe ananitafutia sababu kwa maswali ya kichokozi kama "bia na mshahara kipi kitamu"
Listi itaendela shortly....

hii thread sijui imeanza saa ngapi matokeo yake nakutana na page ya 16 hii power ration hii yakera sana. Ila babu sio siri toka mwaka uanze sijacheka hivi lol yaani mkoloni angekuwa jirani yangu angenipeleka zahanati kwa kuhisi labda naumwa nimechekaje? ubarikiwe kwa kuniongezea siku za kuishi mwe!
 
Hiyo ndiyo inaitwa "Kushiriki chakula na Familia"!
hahahahahaha!
mkuu fanyeni mzaha na mwanadada yoyote pale lakini huyo mniachie,ili niwahi saa mbili kasoro nyumbani ''kushiriki chakula na familia''
 
Leo Babu umeamua kunichekesha kupita kiasi nimecheka mpaka nimezimia kwa hii post

yaani we acha tu babu leo naona kaamua kufurahisha wajukuu zake mi mbavu karibu zitapinda hapa lol
 
hii mada ni kama kutafuta jasho kwenye kwapa wengine tulishasikia hela za kina chautundu zinapatikan baada ya muda wa kazi
 
Haya bwana ila baba kavuta, mama kavuta, mume kanikimbia kapata nyumba ndogo na watoto wapo boarding :smile-big::smile-big::smile-big: Alone is better lol
 
Habari zenu binafsi?!....

Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana MAANANI,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe DUNIANI.Natumia Fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe WAZAZI,kwa kazi ngumu ya kutuleta sisi DUNIANI

STRAIGHT KWENYE HOJA:
TEAMO anawashauri wakina baba wenye familia zenu kujijengea tabia ya KUSHIRIKI chakula cha pamoja na FAMILIA walau mara nne kwa wiki (MSISITIZO:walau mara nne kwa wiki).Wikileaks imegundua kwamba manung'uniko ya hapa na pale ya WAKE ZETU yanachangiwa sana na ''ushiriki finyu'' wa chakula cha pamoja na familia.

TEAMO anawapenda sana na anazijali sana ndoa zenu ndio maana anasema kupunguza kutokuelewana kwa hapa na pale katika familia tujaribu kushiriki pamoja na mama na watoto walau hata DINNER tatu kwa wiki na LUNCH moja weekend.

TEAMO anaamini kwamba wakati mwingine MAPENZI NA FAMILIA ZETU huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.Tutawafanya wake zetu kuwa MIPANGO YOTE,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...

TEAMO IS STANDING TO BE CORRECTED

Yours' Sincerely,
TEAMO aka BABA G

That is truly a msg Teamo; especially to the married class of men and women. Thanks 4the revelation.
 
nadhani ''ujumbe'' umefika KAMA ULIVYOKUSUDIWA

HABARR NDIO HIYO!

WE NEED TO CHANGE OUR ATTITUDES

AHSANTENI SANA!

NIKIRIPOTI KUTOKA NYUMBANI NIKIWA NIMEJIPUMZISHA NA FAMILIA,MIMI NI TEAMO WA MMU
 
Back
Top Bottom